tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
usiku mwema wana Yanga
na kwako pia, yanga oyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiku mwema wana Yanga
Samahani eti mechi imeishaje leo??
Inaonekana una matatizo binafsi na Simba na si kwa sababu ya matokeo ya draw, hao walioishusha Simba toka jana wamecheza mechi moja zaidi na wameizidi Simba pointi moja, wala hatufurahii kwa kupata droo lakini tunafurahia namna droo ilivyopatikana, wewe unataka tunune kwa sababu ya droo na tungefungwa si ungetaka tufe kabisa.
Club bingwa Afrika fainaly ni Al Ahaly vs Orlando Pirates. Nyinyi endeleeni na ushabiki wenu maandazi wa kombe la mbuzi.
Ila ile mvua ya magoli dakika mbaya sijui simba ilitokea wapi. Mnyama kanyatia afu fyuuuuu.
Poleni wanayanga. Mlishaambiwa badilisheni rangi ya team mkagoma
Waiter upo wapi leta kinana nyingine, saa ngapi jamani lakini sina hofu boss naye ni simba damu kama mimiKatika siku ambazo nilikuwa na tension ya mpira ni jana. Maana nilianza kupata sms za kubezwa kuanzia saa 12 ahsubuh, yaami ilikuwa taabu sana.
Muda wa mechi sikuwa na raha yalemaneno niliyobezwa yalikuwa yanaring in my brain na mapicha ya kumdhalilisha mnyama yaani hata mlo wa mchana sikula.
Niliamua kutouangalia neikaenda zangu vikobaaa....niko njiani nasikia goooo...ikabidi nisogee tumefuungwa, niko kwenye kikao nasika tena gooo tumefungwa, nikachungulia JF na kisimu changu laaaa nikakuta wakina Heaven on earth, na webzake ndo wanashindilia mwiba moyoni nika log out fastaa. Nimeamini nina mapenzi makubwa na SIMBA
Naanza safari ya kurudi home shosti ananipigia simu eti cha tatu hicho kaoge....yaani nusu nimtukane. Mwingine tena haloow leo lazima uumwe..nikamwambia mmpira ni 90min, akasema mmeshapigwa v3 unaongea dkk 90.
Njiani tena nikakutana na mwenye kiredio chake ile napishana nae tuu nasikia gooo, yaani nilihisi mapigo ya moyo yana potea..nasikilizia la nne au? Aaa kumbe MNYAMA ameanza kuchomoa, baada ya muda tena nasikia gooo chapili. Nakaribia home nasikia tena gooo afu watoto wananilaki mama mama simba wamesawazisha matatu mama timu yako. Kajasho kembaba kalinitoka kafuraha lakini na kushushia punzi maana.
Nimetumia almost masaa mawili kufuatilia thread, kwa nionavyo yaani kweli kipindi cha kwanza SIMBA tulikuwa na simanzi sana. Nina furaha ya ajabu si kwa sbb ya droo but kwa simba kucheza mchezo wa maana na kuweza kurudisha mabao ma 3 kwa staili ya aina yake.
Kwa upande mwingine nijambo lisilofichika kuwa pamoja na droo YANGA wameaibika.....POLENI
Salamu kwa wazalendo wa ukweli wa SSC Ndeticha, @Exellent Katavi, Asprin, Masuke, Filipo, KakaKiiza, Mzee wa Rula, stevoh na all SIMBA SPORTS CLUB Fans...pamoja sana.
Yanga SIMBA mtaipenda tu.... Balantanda nimekukubali sana..thumb up for you mkuu
Hivi sasa ni saa 01:54 tukutane baadayeee....kwa heri kwa sasa.
Katika siku ambazo nilikuwa na tension ya mpira ni jana. Maana nilianza kupata sms za kubezwa kuanzia saa 12 ahsubuh, yaami ilikuwa taabu sana.

Ha ha haaaa! Shosti Heaven on earth naona leo babu Asprin atafungiwa nje kuwashangilia Simba..... Roho inauma sana game la leo, basi tu..... Darling watu8 twende bar leo nikapumzishe akili lol
Pole sana na hongera kukaba vizuri. kuna hatari tungewapiga cha nne.
leo ukirudi home utaona.......
Hapo kwenu ndo ushindi.... nilicheka sana uliposema bora msirudishe timu uwanjani kipindi cha pili...