Ile si aibu make penat3 so mchezo
Mkuu ACCOUNT FULL. mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.
Mkuu vipi tena mbona empty uli5ak kumaanisha Yanga 3 Simba 0 au?!
simba leo ni 1 Mohamed Mwameja 2 kasongo athuman 3 twaha hamidu 4 deo njohole 5 fikiri magoso 6 Hussein marsha 7 Abdul mashine 8 Dan muhoja 9 Eddo chumila 10 maloti soma 11 dua said
Dalili za njaa hizi.Yanga 5 - Simba 0
ACCOUNT FULL kajipiga ban mapema...!
Hahahaah! Kumbe upo...!ahaa haa.., mkuu nipo, unajua hii mechi sisi tunaokaa karibu na taifa, mishe mishe zinakuwa nyingiiiii.., lakini ushindi kwa YANGA daima mkuu.
Mkuu ACCOUNT FULL. mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.
Binafsi nina imani KUBWA sana na SIMBA!! Ushindi hautakuwa kikwazo
Hahahaah! Kumbe upo...!
YANGA ni kama MAN U ville...
Wakuu nimekosa tiketi msaada tafadhari.