Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
simba leo ni 1 Mohamed Mwameja 2 kasongo athuman 3 twaha hamidu 4 deo njohole 5 fikiri magoso 6 Hussein marsha 7 Abdul mashine 8 Dan muhoja 9 Eddo chumila 10 maloti soma 11 dua said

Aah Mkuu, umenistua, hasa namba 11.
 
Mkuu ACCOUNT FULL. mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.

Nipo mkuu, nilkuwa naweka mambo sawa, si unajua hii mechi, inatakiwa baadhi ya vitu vya kesho j3 uvifanye kabisa leo mkuu.
 
1379645_685530298138472_1540881185_n.jpg

umeanza eeh! Ngoja ni update AV ya laptop yangu tayari ku-upload vitu vikali.
 
Mh simba hatuna Meneno ila dk 90 ndo zitakzo amua! Na huyo ----- wenu aliyesema atachoma nyumba ajiandae! Pamoja na yule mjinga aliyelia siku ya tano bila ajiandae kunywa sumu! G.G. Simba sports Club!
 
Mkuu Kitoabu niliomba ban ya siku tatu haijalishi yanga wamefungwa goli ngapi ila mkuu @ACCOUNTFULL ndo kaomba @ goli
Basi nilichanganyikiwa. Ila twambe bhana!!
 
Last edited by a moderator:
Yanga 5-0 Simba...
Mungu saidia na iwe hivyo.!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom