Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Kuna jamaa anaitwa Tegete, huyo jamaa mpira wake ni wakawaida lakini anapo cheza na simba lazima aharibu hari ya hewa pale msimbazi. Mimi namwitaga mshika chenji, kwakua yeye ndio ukabidhiwaga ile ndumba (chenji)
Hana madhara kwa sababu Kaseja hayupo.
 
Kuna jamaa anaitwa Tegete, huyo jamaa mpira wake ni wakawaida lakini anapo cheza na simba lazima aharibu hari ya hewa pale msimbazi. Mimi namwitaga mshika chenji, kwakua yeye ndio ukabidhiwaga ile ndumba (chenji)
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Mkuu Kitoabu niliomba ban ya siku tatu haijalishi yanga wamefungwa goli ngapi ila mkuu @ACCOUNTFULL ndo kaomba @ goli
 
Last edited by a moderator:

1379645_685530298138472_1540881185_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha.
Bahati yenu leo sipo Dar,tungewapiga 8 kavu kavu.Ila 3 kwa leo zinawatosha.
Cc Masuke
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom