Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa limekosa watu muhimu kama BRVE ONE, MAKOYE MATALE, na mkuu NDETCHIA.Mkuu ACCOUNT FULL. mbona huonekani kukwaani au ndo unafunza pindi utakapokula ban.
Haiwezekani.Yanga 5-0 Simba...
Mungu saidia na iwe hivyo.!!
Muda bado wataibuka tu.Jukwaa limekosa watu muhimu kama BRVE ONE, MAKOYE MATALE, na mkuu NDETCHIA.
Haiwezekani.
FC LUNYASI "LION KING" MNYAMA
KIKOSI cha Simba dhidi ya Yanga
1. Abel Dhaira
2. Nassoro Masoud
3. Haruna Shamte
4. Gilbert Kaze
5. Joseph Owino
6. Jonas Mkude
7. Ramadhan Singano
8. Abdulhalim Humud
9. Betram Mwombeki
10. Amisi Tambwe
11. Haruni Chanongo
SUBS:
1. Abuu Hashim
2. Hassan Khatib
3. Issa Rashid.
4. Zahoro Pazi
5. Amri Kiemba
6. Said Hamisi
7. William Lucian
chini ya jua mkuu, vingi vinawezekana.
Simba lazima walambwe 4 kwa nunga
wanatumia TBC kurusha mechi wao naona bado awajaanza kurusha vipindi kwa chaneli zao..Azam TV wanaptikana chanel gani DSTV?
Kikosi cha ushindi kabisa hiki, maana naona Issa Rashid, Amri Kiemba na Zahoro Pazi wataingia kumalizia kazi ambayo iatkuwa imeanzishwa na Singano, Chanongo na Tambwe.FC LUNYASI "LION KING" MNYAMA
KIKOSI cha Simba dhidi ya Yanga
1. Abel Dhaira
2. Nassoro Masoud
3. Haruna Shamte
4. Gilbert Kaze
5. Joseph Owino
6. Jonas Mkude
7. Ramadhan Singano
8. Abdulhalim Humud
9. Betram Mwombeki
10. Amisi Tambwe
11. Haruni Chanongo
SUBS:
1. Abuu Hashim
2. Hassan Khatib
3. Issa Rashid.
4. Zahoro Pazi
5. Amri Kiemba
6. Said Hamisi
7. William Lucian
Mkuu 4 mbona itakuwa hatujawapga vema? Hawa kuanzia hata 5 ili nafsi zetu zitulie.
Mpwa kanywe bia tu. İnauma sana unatoa hela yako afu unashuhudia mnyama anavokutafuna.