Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
There are currently 1292 users browsing this thread. (194 members and 1098 guests)

 
Mnyama unyamani, mnyama unyamani, mnyama unyamani, fanya kazi ipasavyo maana hali si hali.
 
huyu kocha wa yanga naona anaongea na waganda 2,vp wabongo hakipand?
 
oya! hakuna kutoka shabiki wa msimbazi kabla ya kipenga cha mwisho!
 
kuna ban ya mtu ishaota mbawa hapa baada ya mzee wa penati kutolewa..
 
dah, asavali timu naona inatia matumaini sasa, go simbaaaaaaa go!
 
Dakika ya 70

Simba 2-3 Yanga

Yanga wanalinda goli sasa kiasi cha kuruhusu mashambulizi kuelekea langoni kwao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom