Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wayaaaaaaaaaaaaaaaa
Uwezo wanao maana wameshawafunga magoli matatu......Yanga hawana uwezo wa kuifunga simba hata siku moja. Wasubilie tuwaongeze la mwisho
droo si mchezo kwa mtu aliyekutangulia magoli 3mnachekelea droo...
Mpira umeanza....kuna historia ambayo naona watu wameamua kujisahaulisha...Yanga kushinda Jpili huwa ni ngumu sana!! Ngoja tuone kama hii rekodi bado ina-exist ama mwiko ulivyavunjwa!!
Kuna watu wa Simba nadi ya JF walipotea kabisa dakika 80 za mwanzo......Naona sasa hivi wamefufuka
Leo burudani sana...teh teh
Hii ni kawaida mkuu, maumivu uyasikie kwa mwenzako tuKuna watu wa Simba nadi ya JF walipotea kabisa dakika 80 za mwanzo......Naona sasa hivi wamefufuka