Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
Wale waliokuwa wanasema Yanga asiposhinda wanameza kisu nataka niwatafute nina visu kama vitatu, na yule aliyesema kila goli moja Simba ikipata ban siku tatu, Invisible wale wote waliotaka kufungiwa endapo Simba itapata goli bila kujali kama itashinda au la, naomba utekelezaji wa ombi lao.
 
Last edited by a moderator:
Ongereni kwa mchezo ulio tulia, nashukuru kwa ushindi nilio upata. Viva Azam.
 
kwa matokeo haya azam wanaendelea kujaa pale juu kileleni wakifuatiwa na chipukizi wa kusini nyanda za juu mbeya city, wazee wanaendelea kujikongoja, waachie damu mbichi, siku hizi ushindi si jina bali mpira ni magoli ya ushindi uwanjani, na kushia sare maana yake wote wameishiwa pumzi uwanjani na nyasi za uwanja zinaendelea kusitawi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1382281710.560977.jpg

Yaani mauno yote hayo kwa droo tu! Ungelishinda sijui ingekuwaje!.
 
Mechi ya mwaka. Nashauri bodi ya Man U wamchukue Kibadeni am'replace' Moyes.
 
Hasanteni sana Mwombeki na mabeki wangu Owino na Kaze kwa kunipigia hizo goli tatu. Maana leo ningelala mapema mno.
 
I don't get ur point, hivi unajuwa football kweli wewe au ni ushabiki maandazi,

Simba wamefungwa goli 3 kwa dakika 45 same to Yanga sasa nani aliyeshinda mechi hii? Na kazi ya dakika 90 ni nini?

yan huyo ni bora umjibu kimoyo moyo kuepuka ban, mana kaandika utumbo.
 
Wale waliokuwa wanasema Yanga asiposhinda wanameza kisu nataka niwatafute nina visu kama vitatu, na yule aliyesema kila goli moja Simba ikipata ban siku tatu, Invisible wale wote waliotaka kufungiwa endapo Simba itapata goli bila kujali kama itashinda au la, naomba utekelezaji wa ombi lao.

wasamehewe bure,ni utoto tu baada ya hii game watakua
 
Last edited by a moderator:
I don't get ur point, hivi unajuwa football kweli wewe au ni ushabiki maandazi,

Simba wamefungwa goli 3 kwa dakika 45 same to Yanga sasa nani aliyeshinda mechi hii? Na kazi ya dakika 90 ni nini?

Huwezi kunielewa, yupi wa maana kati ya aliyepata mali mapema na kushindwa kuzilinda na kufuja ovyo na yule aliyehangaika akaja akapata uzeeni na kuzilinda?
 
Nilichojifunza,KWENYE SOKA kila kitu kinawezekana mbaya kukata tamaa! SAFIII..
 
Timu zimegawana vipindi vya kutawala mchezo na kutumia nafasi walizopata kutengeneza matokeo waliyopata...

Sidhani kama kwa leo kuna timu iliyokuwa bora kumzidi mwenzake...

Hii ni tathmini yangu kulingana na kipindi cha pili maana kile cha kwanza sikuweza kukiona zaidi ya kusikiza tu...

Yeboyebo mnabahati sana, mnajisifia timu nzuri mnashindwa kulinda goli tatu ndani ya dak 45, Beki ya Yanga ovyo kweli na kama hawa vijana Ndemla na Lucian wangeanza toka mwanzo tungekuwa tunaongea mengine hadi sa hivi.
 
Wale waliokuwa wanasema Yanga asiposhinda wanameza kisu nataka niwatafute nina visu kama vitatu, na yule aliyesema kila goli moja Simba ikipata ban siku tatu, Invisible wale wote waliotaka kufungiwa endapo Simba itapata goli bila kujali kama itashinda au la, naomba utekelezaji wa ombi lao.

huwa hawajuagi llolote la weza kutikea wafunde hao bana..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom