Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

Sijawahi kuona faida ya uwepo wao na hasa katika kuboresha huduma kwa wagonjwa, sijawahi kwenda hosptali nikapata dawa zote nilizoandikiwa na dakitari sana sana nimepata usumbufu mkubwa kuzunguka jijini kutafuta dawa kila ukienda hapa wanasema nenda pale, gharama ya kuzunguka inakuwa kubwa kuliko ningetibiwa kwa fedha yangu taslimu
Tatizo ni bei za dawa baadhi ziko chini kuliko hata wholesale wanavyouza, wakikupa ni hasara. Wajaribu kuwaambia nalipa cash, kama hawatakupa hizo dawa. Sehemu nyingine kama muhimbili, wakiona bei ya hiyo dawa ni kubwa kuliko bei ya NHIF, wanakupa mbadala, ambayo bei yake iko chini.
 
👍
 
Mnajitahidi sana kwa sasa hadi wanachama tunahimizwa kutokusubiri kuugua bali tupeleke familia zetu kufanya checkups kila mara.
 
daktari kujaza ile fomu ya kuchukua dawa nje mpaka wabembelezwe ...
Tatizo lenu mna viburi sana mbwa nyie!! ....ukishaona una ka-form ka Bima!! basi umesha muona Dr ni kibarua wako! asile asinywe asiondoke ili mradi tu akubebe sijui mgongoni yaani miswahili mna taabu nyie basi tu!!

yaani akisikiliza vistory vya umbeya na kukaa sana ofisini kwake ndo unaridhika akiwa Busy wana linga mpaka wabembelezwe!...yaani Bongo bana kila unapo kanyaga unaringa sababu tu una vi nyama nyama! na ka ngozi laini!
 
Back
Top Bottom