Yaliyojiri wakati wa ukarabati wa JF

Yaliyojiri wakati wa ukarabati wa JF

JF imekuwa inatufanya tukose vingi.....wengi wanaokaaa masaa mengi jf hawana mashori wakali...fanyeni tafiti....

Ha ha ha hata kwenye vijiwe utakuwata kimya tu kwani wanajua mambo mengi sana duniani na wenye upeo wa kuelewa...mpaka wanaona noma kuchangia watu watawashagaa.....wamejuaje....
 
Hii ndio ilikuwa JF sasa, tulikuwa tunapitishiwa bakuli kuchangia ili iendelee kuwa hewani
 
Back
Top Bottom