Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Hivi kumbe na nyie mmemuona nilifikri peke yangu,hata mimi cpendi komenti zake huyu jamaa ajirekebishe

Acheni unafiki wewe na mkolaj mngekuwa hamzisomi mngepata wapi cha kuandika? Mbona nyinyi mnatukana sana tu au mnadhani maneno yananunuliwa kwa dolar. Watu wazima mnakaa kujadili mtu badala ya kujadili michezo na ushabiki. Napata tabu kuamini kama kweli mmetimia ubongoni sawasawa.

Yule mwingine anajiita mkolaj jitu kubwa limeweka ID ya kishenzi linabusu mtoto mdogo, wewe naye mimacho imekutoka kama marehemu aliyekufa kwa ajali ya moto mbona hatujasema? Acheni upumbavu ukiona mtu hajakujibu ujue amekupuuza usiendelee kumfuata fuata.
 
Last edited by a moderator:
Lete chako cha kuombea beer. Hoja iendane na hoja, kama ni hoja mpya usi-quote ndiyo maana yangu.

Unadhani wote bado ni makoloni ya kiingereza kama wewe. Watu wanaongelea soka wewe unaleta kiingereza chako cha kuungaunga na gundi.
 
Popote ninapotajwa naona haraka; ila nishauri sisi wenyewe tujikite kwenye mijadala bila kuumizana.

Utani usivuke mipaka na jukwaa hili lisihitaji kuwa linaingiliwa sana na mods. We can make it happen!

cc grafani11

Mheshimiwa sana mara nyingi hao watu wanaopiga kelele humu jaribu kuwafuatilia, hasa huyu mtu anayejiita mkolaj amekuwa wa kwanza kuwashambulia washabiki wa Simba kwa lugha sizizokuwa na staha. Makoye Matale mtumishi wa Mungu huyu sina tatizo naye huyu yeye anafata upepo tu ila mkolaj na kakundi fulani ka wenzake wao ndi chanzo halafu wanakimbilia kuripoti kwa kaisari.

Ukifuatilia kwa makini hawa watu inapotokea Yanga imefungwa na Simba au timu yoyote nyingine huwa ni wakali na wanaoporomosha maneno yasiyofaa kuandikwa humu dhidi ya washabiki pinzani halafu hao hao ndio vimbelembele kama Manji wao anavyowafundisha kila siku kwenda TFF/FIFA kufungua kesi ambazo kila siku wanaangukia pua. Tumewazoea hawatutishi hao kwa mpira hawatuwezi tutawafunga kila siku mpaka tutakapo choka wenyewe na kwa maneno pia hawatuwezi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Masuke umejitahidi sana kufafanua, nadhani shabiki mwenzangu kaelewa.

Nina ushauri kwako Mkuu Masuke, tafadhali naomba umshauri grafani11 aache utoto, naamini ukim-pm wewe atakuelewa. Ushabiki siyo chuki, matusi na maneno mengine ya kuudhi.

Eti anauliza huko Katavi na Rukwa JF haijafika; wakati katika post yangu nimeeleza wazi kuwa nilikuwa maeneo yenye shida ya umeme. Jamaa kwa kweli anaboa!

CC. Invisible: Tumechoka kusoma posts zenye matusi toka kwa grafani11, wakati umefika JF Rules zitumike ipasavyo.
Makoye Matale nilipokuuliza swali hilo wewe ulichukulia ni tusi au ulifikiria nini hasa zaidi ya maneno ya kawaida katika soka hasa pale mtu anapokuwa amefungwa halafu anatoa sababu ya kutofahamu matokeo kutokana na kuwa mbali. Mimi nikakuuliza huko JF haifiki?
Washabiki wa Yanga tumewazoea mwa kuwa na jazba zisizo na sababu msiwe kama Boko Haram kuteka Watoto wasio na hatia wakati aliyekuudhi ni Emmanuel Okwi.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 234751 vs View attachment 234752

Mechi saa Kumi Jioni Uwanj wa Taifa Dar Es Salaam

Nimebahatika kuwaoana hawa Platinum wakipasha leo asubuhi, kwa kweli wameshiba

Kila la Heri Yanga Africa, wawakilishi pekee wa Tanzania Kimataifa, jitahidi msiingie mkimuwazia Okwi bali muweke masilahi ya Taifa Mbele
==========

UPDATES:

Full time:
Young FC 5 - 1 Platinum FC
The legends themselves...
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Platinum ya zimbabwe;
1. Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondan
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo Master"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima
SUB....
Deogratius Munishi
Rajabu Zahir
Hassan Dilunga
Kpah Sherman
Edward Charles
Jerryson Tegete.

Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Platinum ya zimbabwe;
1. Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondan
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo Master"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima
SUB....
Deogratius Munishi
Rajabu Zahir
Hassan Dilunga
Kpah Sherman
Edward Charles
Jerryson Tegete.

Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans
Hivi Jerry Tegete bado anacheza mpira wa ushindani?
 
Back
Top Bottom