Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

hongeleni watani ila wafungeni nyingi mnakumbuka yaliyowakuta mzunguko wa kwanza! Kazeni buti.

team simba
 
Daaa afadhari watupunguzie machungu,
bado ngasa tunamdai magoli 2 ili tumsamehe lile goli alilo wakosa simba!
 
Dah imefika wakati Viongozi wa Yanga badiliken dah tunaishia kupata matokeo apa JF tu, kama vipi wapigwe tu.
 
Yanga si mbaya mpaka muda huu... Tunashukuru kwa hilo, ongezeni mawili zaidi.
#YANGA #
 
Goli walilopata platnum lilikuwa lnaonekana wazi kwa sisi tuliokaa nyuma ya goli la Yanga, ile faulo ilikuwa ni goli kabla hata haijapgwa, kutokana na ukuta ulvyokuwa umejpanga
 
Jitahidi matokeo yasomeke yebo munaongoza laa sivyo mtanipa kusema
 
yanga msitake kutuudhi. sisi tumesahau tofaut zetu tumeamua kuja kuwashangilia mnafanya mambo ya ajabu team kama hii haipaswi kupata hata 0 wanatakiwa wapate negative 0 kabisa hawa wapigeni 10 leo kwa hilo moja lao. ni team mbovu sana hii huko kwao inashika nafasi ya nne wakati ninyi mnaongoza.
 
Yanga wameshaharibu kuruhusu hilo goli

Maadui wetu huwa hawatoki Zimbabwe, wako Misri! Tuliwahi kutoa sare ya 3-3 Dar es Salaam kati ya Yanga na Highlanders tulipoenda Zimbabwe tuliwakandamiza 2-0 kwao na kuwasukumiza nje ya mashindano, usihofu, Yanga mbele daima nyuma mwiko.
 
Platinumz jamani pigeni hao yanga furaha yangu ikamilike leo, najua wataludisha na kuongeza
 

Msijipendekeze, hatuhitaji sapoti yenu ya kinafiki, tuacheni na Yanga yetu, tufe kivyetu au tuue kivyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…