Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin

Yaliyokutwa Uganda kwenye safe houses za Iddi Amin


Sijaona chanzo cha picha uliyoweka post namba moja. Hapa naona umenibandikia clip ya watu wanakula pesa kwa kutumia jina la Idi Amin, sijaona cha maana cha kusema ndiyo chanzo cha Ile picha juu.

Si weka link ulipoibandua Ile picha? Au ni ya Rwanda ile?
 
Somo la historia linahusika hapa
Mbona mnayaleta hapa leo?? Idi kishakufa, mtamfungulia mashitaka mfu? They say; The dead stay dumb!!!! Upo?? Sasa kwenda fukua majumba ya Iddi leo itatusaidia nini?? Nnani ataweza hata kutupa majina yao hao?? Tusifukue makaburiiii

Jr[emoji769]
 
Nilikuwa uganda sehemu moja kama unaenda murago Hospital.Ni kama Muhimbili hapa bongo.Kila mganda niliyekuwa nikimuuliza kuhusu Idd Amini hadi wazee walikuwa wanasema ni uzushi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom