love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ni informer wa system na huwa anaomba usaidizi huko anapokuwa na jambo lake, kama alivyo muuza mdudeCCM mmepanga kufanya nini ili mumsingizie Mbowe (kama mlivyofanya kwa Chacha Wangwe)?
Lissu atalindwa na hata wasio wanachadema ,watanzania walishajifunza kuhusu yaliyomkuta chacha wangweNchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Wamachame ni mabingwa wa mipango ya mauajiNchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Mnyika ni CHAWA wa Boss KubwaSimkubali Lisu, ila Lisu na mnyika ndio wapinzani pekee wa kuwaamini kwa sasa
Inawezekanaje kutokumkubali mtu halafu muda huohuo umuamini?Tupatie mbinu mkuu.Simkubali Lisu, ila Lisu na mnyika ndio wapinzani pekee wa kuwaamini kwa sasa
Huyu alikuwa na ulinzi wote wa hapa duniani mpk wa waganga wa jadi ilikuwaje akazidiwa?Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
UWT acheni ukabila CCM ndiyo inaongoza kwa utekaji na mauajiWamachame ni mabingwa wa mipango ya mauaji
Erythrocyte ni mtu makini sana naamini HAWEZI kukubali hilo litokee kwa Lissu!Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
CCM ndio mama wa uovu woteUWT acheni ukabila CCM ndiyo inaongoza kwa utekaji na mauaji
Hawa ni wauaji na watekajiCCM ndio mama wa uovu wote
WordNchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Mbona mnyika alisema hakukubali ujio wa Lowasa lakini aliendelea kumpigia kampeniInawezekanaje kutokumkubali mtu halafu muda huohuo umuamini?Tupatie mbinu mkuu.
adui wa ndani ni hatari sana, kama kwa karume tu, sankara na JF kenedy.Huyu alikuwa na ulinzi wote wa hapa duniani mpk wa waganga wa jadi ilikuwaje akazidiwa?
Magufuli alifanywaje?Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Si alikuwa anapendwa sasa ikawaje?adui wa ndani ni hatari sana, kama kwa karume tu, sankara na JF kenedy.
Hata Mungu hapendwi na woteSi alikuwa anapendwa sasa ikawaje?