hewizet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 2,418
- 1,535
usiseme kwa nguvuJamaa ni mzuri, ila watu walim overate ili alete upinzani kwa Diamond kama kubalance game.
Kosa alilolifanya ni kudhani ile overate ilikuwa ya uhalisia na akaanza kulazimisha kuishi at an overated level.