usiseme kwa nguvuJamaa ni mzuri, ila watu walim overate ili alete upinzani kwa Diamond kama kubalance game.
Kosa alilolifanya ni kudhani ile overate ilikuwa ya uhalisia na akaanza kulazimisha kuishi at an overated level.
supu kaikomelea nazi akidhani ndio inanogaKheee.....kumbe hata mimi mrundi
Jamaa namfananishaga na mpishi wa pilau ambae baada ya kusifiwa, basi akaanza kuongezea manjonjo kwa kuweka asali, mapapai, nanasi, maziwa kwenye hiyo pilau akifikiri atawachizisha wateja wake kwa furaha kumbe ndio anaalibu
Hahahasupu kaikomelea nazi akidhani ndio inanoga
jamaa muongo huyuDavido hakutoa mwimbo kuanzia lini hadi lini?
Nadhani Mimi ntakua mkenyakila mtanzania hufurahishwa na king kiba!
Mwimbo [emoji15][emoji15]
Wimbo wa If umetoka lini jameni? Fall je.. The sound? Au ndo majungu ya wa tz.. Mbona manfongo anatoa nyimbo kila siku na hazisikiki.Davido hakutoa mwimbo kuanzia lini hadi lini?
Isipokuwa wachawi na wangakila mtanzania hufurahishwa na king kiba!
unikomekila mtanzania hufurahishwa na king kiba!
[Emoji14][emoji17]Utajiju mleta mada kanijibu, ulitaka niulize kwa kilugha!!!! Pita hukooooo ukitaka andika utakayo andika mie niliandika nimemaliza sibadili
No waaayyyyykila mtanzania hufurahishwa na king kiba!