Yaliyomkuta dereva wa boss huko Dodoma

Yaliyomkuta dereva wa boss huko Dodoma

Sasa mpaka anamchukua hakujua kuwa ni changu? Alafu pia changu ni mtu na ana nyama kama wewe
tatizo ni kwamba unaenda kuosha shahawa za wenzio,by the way me hua sinunui malaya
 
Tabia hii ya kuparamia wanawake ni rahisi sana kuparamia majini,hata kama umeenda sehemu ambayo ni mgeni basi unataka kutafuna tu jamani kama hawa madereva wa transit(masafa marefu) ukimwi nje nje
 
Ni rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni na kinywaji.

Wakati akipata kinywaji alimwona binti mrembo akiwa amekaa peke yake kwenye meza ya pembeni kwa muda mrefu huku akiwa hana kinywaji chochote,hulka ya kianaume ikamjia akaamua kumtokea na kumuuliza kama wanaweza kuwa wote.

Bila hiyana binti akajibu kuwa haina tatizo,basi wakajumuika wote kwenye chakula na kinywaji, ajabu moja aliyoona jamaa ni kuwa watu waliokuwa kwenye baa walikuwa wakimwangalia sana, kwaajili ya kinywaji kumkolea hakujali, hisia zake zilimtuma kuwa watu walimwangalia vile kwa sababu ya kitu alichoibua kwani si cha kawaida.

Baada ya kutosheka wakaelekea chumbani kwa jamaa yangu,wakajimwagia maji na kulala,jamaa hakumchelewesha akaanzisha mchezo,mambo yalipoanza kunoga yule bidada akaanza kushusha haja kubwa ya nguvu kitandani,
jamaa pombe zikamtoka akaamua kumtimua usiku uleule.

Baadae wahudumu wakamwambia kwamba huyo mdada si timamu sana huwa zinaingia na kutoka,jamaa yangu ameapa kwamba ikitokea akasafiri ni afadhali ambebe mke wake kuliko kuvamia wanawake asiowajua.
Hahaha
 
Tabia hii ya kuparamia wanawake ni rahisi sana kuparamia majini,hata kama umeenda sehemu ambayo ni mgeni basi unataka kutafuna tu jamani kama hawa madereva wa transit(masafa marefu) ukimwi nje nje
Duuh
 
Back
Top Bottom