Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh... usije ukatoa siri za yule demu wetu tunayemshea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duh... usije ukatoa siri za yule demu wetu tunayemshea...
Shetani ameshashindwa. Twenzetu nyumbani mama.🙄🙄Dunia simama
No nimemfikiria sana mana Ali lakini ukubwani ndiyo nimeelewa kuwa akiwa mama wa nyumbani, ile hela aliidunduliza labda ilikuwa Birthday ya mmoja wa watoto. Alitaka wale chakula kizuri na Ali rafiki yangu alileta uzembe.Mama Ali nae... Ah!!!
Mama Ali alipaswa amwambie Ali 'uwe makini barabarani' na ampe kitenga ambacho kisingelowa...No nimemfukiria sana mana Ali lakini ukubwani ndiyo nimeelewa kuwa akiwa mama wa nyumbani, ile hela aliidunduliza labda ilikuwa Birthday ya mmoja wa watoto. Alitaka wale chakula kizuri na Ali rafiki yangu alileta uzembe.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Basi mi siku zote nikajua we ni mwanaume... Kumbe ushazaa... dah!
Dah...Ee bana ee..... Ukazaa😱Mimi nililala na mwanamke bila kondomu matokeo yake nikazaa mtoto nje ya ndoa,hii imenifunza risk management
ha hahaaMimi nililala na mwanamke bila kondomu matokeo yake nikazaa mtoto nje ya ndoa,hii imenifunza risk management
duuuhh madame sky ameiona hii""!? ...Duh... usije ukatoa siri za yule demu wetu tunayemshea...