Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka.
Shuga mami akamuuliza jamaa, umesha wahi kupractice threesome?
Jamaa akajibu hapana, shugamami akamwambia leo una bahati ya mtendo, utamega mama na mwanawe.
Jamaa akafurahi ile mbaya.
Walipotoka club, moja kwa moja nyumbani kwa jimama.
Walipofika, jimama akaita kwa sauti 'Mama njoo, nimekuja na kijana rijali wa kutupa raha usiku wa leo'.
Jamaa kusikia hivyo akazirai, mida hii ndio kazinduka na kutupa hiyo stori.
Wito:-
msifuate nyayo za simba
Buji bana
Daaah
Mzima weye?mmmh!
.

Mzima weye?
Nimekumisije mtu wangu?