Yaliyompata mwenzetu jana usiku club

Yaliyompata mwenzetu jana usiku club

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka.
Shuga mami akamuuliza jamaa, umesha wahi kupractice threesome?
Jamaa akajibu hapana, shugamami akamwambia leo una bahati ya mtendo, utamega mama na mwanawe.
Jamaa akafurahi ile mbaya.
Walipotoka club, moja kwa moja nyumbani kwa jimama.
Walipofika, jimama akaita kwa sauti 'Mama njoo, nimekuja na kijana rijali wa kutupa raha usiku wa leo'.
Jamaa kusikia hivyo akazirai, mida hii ndio kazinduka na kutupa hiyo stori.
Wito:-
msifuate nyayo za simba
 
Jamaa alikuwa na kila sababu ya kuzimia.
Umri wa mtoto= 60,
umri wa mama si itakuwa 90
 
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka.
Shuga mami akamuuliza jamaa, umesha wahi kupractice threesome?
Jamaa akajibu hapana, shugamami akamwambia leo una bahati ya mtendo, utamega mama na mwanawe.
Jamaa akafurahi ile mbaya.
Walipotoka club, moja kwa moja nyumbani kwa jimama.
Walipofika, jimama akaita kwa sauti 'Mama njoo, nimekuja na kijana rijali wa kutupa raha usiku wa leo'.
Jamaa kusikia hivyo akazirai, mida hii ndio kazinduka na kutupa hiyo stori.
Wito:-
msifuate nyayo za simba

Buji bana
Daaah
 
............bujibuji,niwie radhi tafadhali mimi (MWENZETU) sijatoka kwangu kwenda club.. Chonde chonde
 
Kaja na shuga mami la ukweli lina umri kama miaka sitini. Jamaa akaanza kujiuliza, hivi huyu mzuri hivi, je mwanae atakuwaje? Muda ukazidi kwenda huku vinywaji vikali vikiendelea kunyweka.
Shuga mami akamuuliza jamaa, umesha wahi kupractice threesome?
Jamaa akajibu hapana, shugamami akamwambia leo una bahati ya mtendo, utamega mama na mwanawe.
Jamaa akafurahi ile mbaya.
Walipotoka club, moja kwa moja nyumbani kwa jimama.
Walipofika, jimama akaita kwa sauti 'Mama njoo, nimekuja na kijana rijali wa kutupa raha usiku wa leo'.
Jamaa kusikia hivyo akazirai, mida hii ndio kazinduka na kutupa hiyo stori.
Wito:-
msifuate nyayo za simba

Aaah bujibuji ndo mambo gani sas haya! mpaka useme humu bwanaa.
mwe niliwaambia ninyi tu.
 
we buji buji si mkeo alikupa mashart magumu au?
 
Back
Top Bottom