Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimeona kura za maoni zilizo kusanywa na chombo kimoja cha habari cha online,kwamba Tundu lisu kwa mujibu wa kura za maini kapata asilimia 84 dhidi ya Mbowe asilimia 16
Ni dhahiri kwamba wananchi wa kawaida wanamkubali Tal swali linakuja je,wajumbe wapo tayar kumuunga mkono?
Hii inanikumbusha ishu ya Makonda wakati anagombania kuwa mbunge mteule wa kigamboni,kupitia kura za maoni wajumbe walivaa miwani ya jua na kumlia bati ile mbaya,ingawa wananchi walikuwa wanamkubali sana
Nayaona haya yanajirudia kupitia Chadema,Tal hakuna ubishi wa namna yoyote kwamba anakubali sana na jamii,je wajumbe hawatamvalia miwani ya jua na kumlia bati?
Ngoja tuone ..
Ni hayo tu!