Yaliyomtokea Mzee Kibao yamtokea Lema

Yaliyomtokea Mzee Kibao yamtokea Lema

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa

halafu kuna wapumbavu uwa wanasema kudai HAKI ni sababu hatujaelemika, Walio kuwa kwenye ndege na Lema akiwemo rubani nao ni mamburura ?

Wafanyakazi wote wa Airport hawakuona tukio ? mnataka kusema polisi wanaweza access airport zetu bila utaratibu kufuatwa?

Nina maswali kadhaa kuhusu hizi Airport
-- Ni Lema tu amewahi kamatwa kwa mtindo huu ? hakuna wa uwa wanakamatwa kwa mtindo huu au kupandishwa ndege pia kwa utaratibu huu lakini kumbe nyumba ya mgongo ni mission ya kupitisha madawa ya kulevya au nyara za Taifa or Madini ?

-- Usalama wa Airport zetu ukoje? Kwa nini hakuna taarifa kutoka Airport kwmaba kuna tukio la kukamatwa abiria ndani ya viwanja vya ndege? Airport zinaendeshwa kwa standard za kimataifa kwa usalama wa abiria je zimefuatwa ?

-- Lema alikuwa anapanda ndege kisha ana check out, Kwanza nini polisi hawakumkamata kwenye check out wala kuheshimu aiport na kuzipa hadhi Airport zetu? kilichofanya polisi wakafanya fujo zile kwenye airport walijua Ndege inaweza potea na Lema au Lema angeweza potea Airport ? Nani mjinga hivi anayefikia hatua ya kuchafua hadhi ya nchi?

-- Mzee Kibao alitekwa kama Lema, Bado tunatafuta nani anaye teka abiria wa mabus na abiria kisha kukutwa wamekufa? Hakuna Taarifa yoyote ya Polisi kukamatwa kwa Lema mpaka baada ya masaa kibao kupita , Walikuwa wanajaribu kufanya nini ? Style ile ile ya Mzee Kibao

Mungu wetu anawafungulia kod watanzania mapema sana hafichi ubaya.
 
Attachments

  • 20240925_072300.jpg
    20240925_072300.jpg
    189.5 KB · Views: 7
  • 20240925_072300.jpg
    20240925_072300.jpg
    189.5 KB · Views: 8
Walitaka waujulishe ulimwengu kuwa Tanganyika sio sehemu salama .
Wakiamua kukuteka haijalishi unasafiri kwa kutumia chombo gani.
Pia taarifa binafsi haziko salama kwa vyombo vya mawasiliano.
 
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa

halafu kuna wapumbavu uwa wanasema kudai HAKI ni sababu hatujaelemika, Walio kuwa kwenye ndege na Lema akiwemo rubani nao ni mamburura ?

Wafanyakazi wote wa Airport hawakuona tukio ? mnataka kusema polisi wanaweza access airport zetu bila utaratibu kufuatwa?

Nina maswali kadhaa kuhusu hizi Airport
-- Ni Lema tu amewahi kamatwa kwa mtindo huu ? hakuna wa uwa wanakamatwa kwa mtindo huu au kupandishwa ndege pia kwa utaratibu huu lakini kumbe nyumba ya mgongo ni mission ya kupitisha madawa ya kulevya au nyara za Taifa or Madini ?

-- Usalama wa Airport zetu ukoje? Kwa nini hakuna taarifa kutoka Airport kwmaba kuna tukio la kukamatwa abiria ndani ya viwanja vya ndege? Airport zinaendeshwa kwa standard za kimataifa kwa usalama wa abiria je zimefuatwa ?

-- Lema alikuwa anapanda ndege kisha ana check out, Kwanza nini polisi hawakumkamata kwenye check out wala kuheshimu aiport na kuzipa hadhi Airport zetu? kilichofanya polisi wakafanya fujo zile kwenye airport walijua Ndege inaweza potea na Lema au Lema angeweza potea Airport ? Nani mjinga hivi anayefikia hatua ya kuchafua hadhi ya nchi?

-- Mzee Kibao alitekwa kama Lema, Bado tunatafuta nani anaye teka abiria wa mabus na abiria kisha kukutwa wamekufa? Hakuna Taarifa yoyote ya Polisi kukamatwa kwa Lema mpaka baada ya masaa kibao kupita , Walikuwa wanajaribu kufanya nini ? Style ile ile ya Mzee Kibao

Mungu wetu anawafungulia kod watanzania mapema sana hafichi ubaya.
SIMPLE ANSWER NI HII HII YOTE IMERATIBIWA NA TISS NA POLISI NA KUIDHINISHWA NA SAMIA! IKITOKEA CHA KUTOKEA SAMIA WILL BE PUT TO TASK FOR ALL THAT!
 
Ni aibu kwa Shirika la Ndege imeonyesha hata huko hakuna usalama. Pia ni kwanini vyombo vyetu vya usalama havitaki kufuata utaratibu? Hata mtaani unatakiwa ukimkama Mtu Viongozi wa mtaa wajue kinyume cha hapo wewe mkamataji una nia ovu kwa mkamatwaji.
 
Back
Top Bottom