Salaam. Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya Whitney Houston kuhusu yeye na Michael Jackson alipohojiwa na Oprah Winfrey - na jipange sasa: