Yaliyomtokea Whitney Yasiwatokee Kina Lady Jay Dee

Yaliyomtokea Whitney Yasiwatokee Kina Lady Jay Dee

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Salaam. Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya Whitney Houston kuhusu yeye na Michael Jackson alipohojiwa na Oprah Winfrey - na jipange sasa:

Bonyeza Whitney Houston

TULIA. TAFAKARI. CHUKUA HATUA.
 
Back
Top Bottom