Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Kupendelea kununua malaya ni dalili ya mtu anaesumbuliwa na jini mahaba na ngumu Sana kulijua hili sababu mtu anakuwa kafungwa
Ni sahihi mkuu. Binafsi niliteseka na kufanya sana hayo mambo. Kuanzia Kahumba, Itigi, Mririna Arusha hadi miembe Mitatu Mpanda huko bila kusahau Tanga mwanzange huko hadi majani mapana. Unakuwa hujitambui ila baada ya Mungu kunitoa huko ndipo najua kubwa kwa ajili za kibinadamu huwezi. Hata hao wanaosema na kujisifu humu ni Roho ya ngono ndio inawasukuma kufanya hivyo. Ni uchafu wa haki ya juu. Mungu yupo bro. Mungu atusaidie kwa kweli
 
Ulimpa bei gani
 
me kila nikitaka kwenda kuchukua malayq najikuta naghairi...naweza fika kabisa nikajikuta nawaangalia tu nakuondoka...mpaka leo sijagusa hata mmoja
umenikumbusha kipindi fulani nilipanga lodge Tandika Sokota pale kuna malaya wanatanda barabarani. Nikashikwa nyege sana.Kuiingia Telegram naona nitatapeliwa,kumtafuta demu serious ni gharama kama laki hivi maana ana matumizi makubwa huyo,kwanza hapandi daladala yeye ni uber tu.

Nikajikaza kupita barabarani hapo Sokota nidake malaya. Duuh,yalivovaa vibaya nusu uchi halafu wamejichubua nikahisi kila mtu anayenijua ananiona na kunizomea naopoa malaya. Aisee nikaghairi nikarudi kulala
 
Dah,Mkuu ulimwacha na chochote au ulimpotezwa tu?
 
Ulikuwa bado hujapata financial freedom?, [emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…