Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Hiyo kawaida ndo gia ya kuanzia, wengine wanaanzia laki moja but mwisho wa siku unagonga kwa 10, 000 au 15000....
 
Dunia haina huruma na hao wanawake ha
Waeeleweki utashangaa inawezekana wengi hata waliokuwa wanainamishwa huko ukutani ni wake za watu.Kwahiyo kuoa kwako sawa ila Hii Dunia bwana ione tu hivi hivi! Kuna siri nyingi
 
Ulifanya jambo jema na huenda Mungu alikubariki.
 
haa haa haa.. ukiwataka una acha buku tano kww manager..... ila bab kubwa ni Nasoma
Mara ya kwanza kutimba pale nilishangaa sana
Nikaambiwa hayo mambo kawaida tu week end
 
Mara ya kwanza kutimba pale nilishangaa sana
Nikaambiwa hayo mambo kawaida tu week end
siyo weekend tu.. hata siku za kazi tena mchana... hapo ndio inakuwa simple zaidi hela ya kumpooza yeye.. weekend wanakuwaga na soko zaidi..
 
daaahhh nmecheka kama mazuri...
ukikamatwa tu..
hapo next day unajikuta mbele ya camera na Mambosasa anakusomea mashtaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]polisi na ww, ww na polisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una visanga na hawa wauza nyapu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nkupe mbinu
ukiwa unatembea mitaa yenye mateja mida ya usku, na ww vaa rafu yaan hakuna atayekukaba ila ukivaa smart ujue imeisha hyoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…