Yaliyonikuta leo Dodoma sitasahau

Yaliyonikuta leo Dodoma sitasahau

kazi nyingine ni za shetani za kumsaidia kujaribu watu, sii kazi yako kujaribu watu ni ya shetani sasa mara umechangamkiwa na wa kanisani mara umempanga kwani huko kanisani wanaendaga wema tuu? hata magaidi huwa wanaenda kulipua kanisa kwenda kanisani wengine huwa wanaenda kwa malengo tofauti sasa la kwako sijui hata niliwekeje ila matokeo yanaonyesha. Bwana Yesu rudi mapema kabla ya maana ya haya majengo(makanisa) kupewa tafsiri nyingine
 
Wakuu habari za mida hii?

Kunajambo ambalo limenikuta hapa Dodoma kwakweli siamini, mimi ni mgeni nimekuja hapa nina siku nne nimekuja kikazi maramoja jana Jumapili nilienda kanisa fulani kusali sasa baada ya ibada kunadada alinichangamkia tukazoeana ni wa kanisani hapo sasa usiku jana tukachati nikampanga.

Leo nilipotoka ofisini akaja hotel niliyofikia hapa na pale nikaomba papuchi akazingua kidogo badae kaachia sasa mzee nimeanza kazi nakuta demu kalala kama gogo kucheki kumbe ALISHA KEKETWA duu hamu ilikata palepale yaani kwakweli nimejilaumu kula papuchi ya kukeketwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya kazi offisi gani , mbona inaelekea akili yako mbovu ,ujielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za mida hii?

Kunajambo ambalo limenikuta hapa Dodoma kwakweli siamini, mimi ni mgeni nimekuja hapa nina siku nne nimekuja kikazi maramoja jana Jumapili nilienda kanisa fulani kusali sasa baada ya ibada kunadada alinichangamkia tukazoeana ni wa kanisani hapo sasa usiku jana tukachati nikampanga.

Leo nilipotoka ofisini akaja hotel niliyofikia hapa na pale nikaomba papuchi akazingua kidogo badae kaachia sasa mzee nimeanza kazi nakuta demu kalala kama gogo kucheki kumbe ALISHA KEKETWA duu hamu ilikata palepale yaani kwakweli nimejilaumu kula papuchi ya kukeketwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo wanawake wa mikoani hao,,,,,,amekatwa kiccm.

Mungu anaakuona, Kamanda usinyanyapae wenzio
 
Hilo ni pigo kwako...yaan binadamu hatuogop wala hatuheshimu mahala patakatifu...ndo tunaona sehemu ya kutafutia michepuko,safi sana kwa yaliyokukuta
 
Kwani papuchi iliyo na kinembe na isiyo na kinembe inakuathiri nini wewe.!?? Hapo umefuata utelezi, utamu unao mwenyewe..
 
Funzo:

Kanisani huwa watu wanaenda kusali na kumwabudu MUNGU na si kuzoeana na wadada kwa nia ya kugegedana
 
Sijaona tatizo la huyo dada dada na kwenda kwake kanisani we sema tu hujampenda sababu amekeketwa
 
Back
Top Bottom