Yaliyonikuta leo Dodoma sitasahau

kazi nyingine ni za shetani za kumsaidia kujaribu watu, sii kazi yako kujaribu watu ni ya shetani sasa mara umechangamkiwa na wa kanisani mara umempanga kwani huko kanisani wanaendaga wema tuu? hata magaidi huwa wanaenda kulipua kanisa kwenda kanisani wengine huwa wanaenda kwa malengo tofauti sasa la kwako sijui hata niliwekeje ila matokeo yanaonyesha. Bwana Yesu rudi mapema kabla ya maana ya haya majengo(makanisa) kupewa tafsiri nyingine
 
Unafanya kazi offisi gani , mbona inaelekea akili yako mbovu ,ujielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo wanawake wa mikoani hao,,,,,,amekatwa kiccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anaakuona, Kamanda usinyanyapae wenzio
 
Hilo ni pigo kwako...yaan binadamu hatuogop wala hatuheshimu mahala patakatifu...ndo tunaona sehemu ya kutafutia michepuko,safi sana kwa yaliyokukuta
 
Kwani papuchi iliyo na kinembe na isiyo na kinembe inakuathiri nini wewe.!?? Hapo umefuata utelezi, utamu unao mwenyewe..
 
Funzo:

Kanisani huwa watu wanaenda kusali na kumwabudu MUNGU na si kuzoeana na wadada kwa nia ya kugegedana
 
Sijaona tatizo la huyo dada dada na kwenda kwake kanisani we sema tu hujampenda sababu amekeketwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…