Yaliyonikuta leo guest house.

Yaliyonikuta leo guest house.

Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa kumwingiza katika mitengo yangu na akanasa.
Yaaliyotokea: Tukiwa guest sita kwa sita nilichomoa condom toka kwa suruali yangu, cha ajabu yule binti baada ya kuiona tu ile packet ya condom alianza kulalamika kuwa aipendi ile aina ya condom na kuanza kunitajia majina kama 10 ya aina za condom alizowahi kuzitumia.
Nilishikwa na gamzi ya ghafla,mwili mzima ukawa unatoka jasho kwani kwa hisia zangu ni kwamba kama anajua majina mengi ya condom vile basi watu wengi sana watakuwa wamepita kwake.
Swali, Je umewahi kukutana na msichana/mvulana wa namna hiyo?.
Je kujua majina mengi/kutumia aina nyingi za condom ni ishara kuwa wewe ni malaya?.

Pamoja wana-Great thinkers.

sioni cha kushangaza hapa!kwani huwezi kuwa na mpenzi mmoja(her exboyfriend) halafu mkatumia aina zote za kondom duniani?

Aina za kondom tu unapagawa Sasa ukipewa mastyle tofauti itakuaje?
 
Nakubaliana na wewe mkuu ila tatizo ni kwamba sababu hasa cjawahi kukutana na msichana alienilalamikia kuwa condom fulani ni mbaya azipendi na kuanza kutaja majina mbalimbali ya condom azipendazo, hali halisi ni kwamba mimi may be uchanga wangu ndio umenifanya nishangae zaidi, swali kwako Je wewe umeshawahi kukutana an kitu kama hiki??
 
Kujua condom siyo kweli ni mtu wa kuchakachuliwa, haya mimi nakuorodhoreshea baadhi ya majina ya condom hapa chini

  • Salama
  • Dume
  • Rough Rider
  • Kama Sutra na nyingine unazijua mwenyewe.
Siyo haki kumhukumu mtu kutokana na vigezo visivyo na uhakika, kwanza inabidi kumuelewa huyo rafiki yako ni mtu wa aina gani, husianisha na uelewa wake na kujua condom nyingi ni sahihi? Unaweza kupata taabu kumbe kwenye NGO yao hiyo ndiyo kazi inayompa mshahara kwa kuwauliza na kuwaelekeza watu matumizi sahihi ya hiyo kitu.

Mkuu nimekugongea thankx kwa maelezo na mfano sahihi, kumbuka sijahukumu bali nimeuliza, swali kwako Je umewahi kukutana na mtu wa aina hiyo??
 
Nakubaliana na wewe mkuu ila tatizo ni kwamba sababu hasa cjawahi kukutana na msichana alienilalamikia kuwa condom fulani ni mbaya azipendi na kuanza kutaja majina mbalimbali ya condom azipendazo, hali halisi ni kwamba mimi may be uchanga wangu ndio umenifanya nishangae zaidi, swali kwako Je wewe umeshawahi kukutana an kitu kama hiki??

sijakutana na kitu kama hiyo but mimi na mpenzi wangu tulishawahi kutumia condoms za aina na size tofauti(hadi za kike) mpaka tulipopata inayotufaa.sasa wewe ukimuotea baby wangu siku moja halafu akikutajia aina zote hizo baaasi ushamuona malaya!

Kweli nahisi wajifunza mambo haya.
 
Jamani inaonekana wabongo wengi tunawanyanyapaa wanawake ...yaani ndio maana wanawake wengine wanajifanya kuwa hawamjui mwanamume kwa kuwa wabongo wanapenda kuambiwa hivyo........unaonaje kama anajuwa kondomu nzuri ,angekaa kimya ndio ungemuona malaika....?malaika anaingia guest? tuwe tunajiuliza hivyo......
Jambo lingine ..unapomuuliza mtu swali kama hujajiandaa kwa jibu negative usiulize.mfano una mdate binti wa college mwenye miaka 25..yupo mwaka wa tatu au nne....unamuuliza ,umeshawahi kufanya mapenzi?[halafu unataka akujibu hapana]....,umewahi kuwa na wanaume wangapi?[unategemea ajibu wawili na wala sikuwa nawataka ..mmoja wao alinifanya bahati mbaya akanibikiri..].......in love past life has no any sense ....muhimu ni present...Kiukweli binti wa miaka 25 tena wa kawaida anaweza kuwa ameshakuwa na wanaume ..hata 15....ukijumlisha na one night stand guys ,lecturers,and mabuzi.....which is so often happen...kati yao permanent wanaweza kuwa watatu.....
 
Jamani wanamume mliotumia kondomu za kike ,vipi zinalipa .....inakuwaje kwa sisis ambao raha yetu ni kuhit visimi na g spot...haivifuniki.....au tunaopenda yale maji maji ya asili....
 
sijakutana na kitu kama hiyo but mimi na mpenzi wangu tulishawahi kutumia condoms za aina na size tofauti(hadi za kike) mpaka tulipopata inayotufaa.sasa wewe ukimuotea baby wangu siku moja halafu akikutajia aina zote hizo baaasi ushamuona malaya!

Kweli nahisi wajifunza mambo haya.

Mkuu basi wewe na mpenz wako mko mbali sana,angalia huyu asijekuwa ndo lahazizi wako ukanitoa macho, nadhani wako atakuwa na miguu,kichwa na kiuno kama wangu nway mkuu thankx kwa maeleko. I appreciate.
 
Jamani inaonekana wabongo wengi tunawanyanyapaa wanawake ...yaani ndio maana wanawake wengine wanajifanya kuwa hawamjui mwanamume kwa kuwa wabongo wanapenda kuambiwa hivyo........unaonaje kama anajuwa kondomu nzuri ,angekaa kimya ndio ungemuona malaika....?malaika anaingia guest? tuwe tunajiuliza hivyo......
Jambo lingine ..unapomuuliza mtu swali kama hujajiandaa kwa jibu negative usiulize.mfano una mdate binti wa college mwenye miaka 25..yupo mwaka wa tatu au nne....unamuuliza ,umeshawahi kufanya mapenzi?[halafu unataka akujibu hapana]....,umewahi kuwa na wanaume wangapi?[unategemea ajibu wawili na wala sikuwa nawataka ..mmoja wao alinifanya bahati mbaya akanibikiri..].......in love past life has no any sense ....muhimu ni present...Kiukweli binti wa miaka 25 tena wa kawaida anaweza kuwa ameshakuwa na wanaume ..hata 15....ukijumlisha na one night stand guys ,lecturers,and mabuzi.....which is so often happen...kati yao permanent wanaweza kuwa watatu.....

Mkuu,sio kwamba nimenyanyapaa ila ni kitu cha kawaida sana kwa dunia ya sasa,kumbuka afya yako unailinda mwenyyewe na natakiwa kuwa makini na sehemu nipitayo. Asante kwa maelezo mkuu,ubarikiwe
 
hivi ungekutana na binti anaejua gesti zote za hapa jijini je?
gesti ipi safi,ipi aghali,ipi cheap
ipi vitanda vinalia sana,
ipi wahudumu wezi

eh??????????
 
kwani mwanamke c kaumbwa na sehemu ya kuingiliwa? Suala la kuingiliwa na watu wengi ni jambo la kawaida tu huyo bnt ni mzuri mno wengine hata jina 1 la condom hawalijui anakuwa hatari sana maana kazoea nyama kwa nyama. We usijali kama anajua majina mengi ya condom wala nini na ww muingilie basi.
 
Kaka bora umekutana na mtu anayeijali afya yake.mi nshakutana na mmoja akaniambia ana allergy na condom,kimbembe kilichotokea hapo usitake kukijua
 
Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa kumwingiza katika mitengo yangu na akanasa.
Yaaliyotokea: Tukiwa guest sita kwa sita nilichomoa condom toka kwa suruali yangu, cha ajabu yule binti baada ya kuiona tu ile packet ya condom alianza kulalamika kuwa aipendi ile aina ya condom na kuanza kunitajia majina kama 10 ya aina za condom alizowahi kuzitumia.
Nilishikwa na gamzi ya ghafla,mwili mzima ukawa unatoka jasho kwani kwa hisia zangu ni kwamba kama anajua majina mengi ya condom vile basi watu wengi sana watakuwa wamepita kwake.
Swali, Je umewahi kukutana na msichana/mvulana wa namna hiyo?.
Je kujua majina mengi/kutumia aina nyingi za condom ni ishara kuwa wewe ni malaya?.

Pamoja wana-Great thinkers.

Inaelekea yuko makini kuliko wewe. Labda kondumu zako zilikuwa feki na alizokutajia ni more protective. Anaweza kujua haya kwa njia mbalimbali nasio tuu kutembea na wanaume wengi. Siku hizi kuna mpaka semina za wanawake kuwaelimisha kuhusu afya zao. Atakuwa amekupa fundisho kuwa next time ukienda kununua kondomu sio unanunua ili mradi umenunua. Ziko zinazofaa na ambazo hazifai kabisa. Biashara ya kondomu ni biashara kama nyingine. Zipo zitakazokuwa na ubora, nyingine ili mradi.
 
Wakuu heshima mbele,
Kwa muda mfupi nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja ambae ametokea sana kuukonga mtima wangu, baada ya pilika za hapa na pale na vishawishi vya hapa na pale nikafanikiwa kumwingiza katika mitengo yangu na akanasa.
Yaaliyotokea: Tukiwa guest sita kwa sita nilichomoa condom toka kwa suruali yangu, cha ajabu yule binti baada ya kuiona tu ile packet ya condom alianza kulalamika kuwa aipendi ile aina ya condom na kuanza kunitajia majina kama 10 ya aina za condom alizowahi kuzitumia.
Nilishikwa na gamzi ya ghafla,mwili mzima ukawa unatoka jasho kwani kwa hisia zangu ni kwamba kama anajua majina mengi ya condom vile basi watu wengi sana watakuwa wamepita kwake.
Swali, Je umewahi kukutana na msichana/mvulana wa namna hiyo?.
Je kujua majina mengi/kutumia aina nyingi za condom ni ishara kuwa wewe ni malaya?.

Pamoja wana-Great thinkers.

Mhhhh! Hiyo kali Mkuu! sasa uliendelea na starehe zenu au ndio uliamua kusepa kivyako vyako!? Duh! anatisha huyo binti lakini pia inaelekea anajilinda.
 
hivi nyie wana..Papa si kakataza kutumia hii mivitu sijui mnaita kondomu?kwa nini hamsikilizi viongozi wa kiroho....msibadilimatumizi ya nyenzo mlizopewa na mjawenu...vitu vya kavu kavu ni kupiga kavu mikondomu ya nini inapunguza ufanisi tu
 
Mkuu,sio kwamba nimenyanyapaa ila ni kitu cha kawaida sana kwa dunia ya sasa,kumbuka afya yako unailinda mwenyyewe na natakiwa kuwa makini na sehemu nipitayo. Asante kwa maelezo mkuu,ubarikiwe

acha woga wewe piga kavu...watu miongo lukuki tunadunda kavu mbona maisha safi tu
 
si afadhali huyo anajua aina za condoms, mwingine angekuambia mie guest hii siiendi sababu kila siku mshuka meupe tuu twende sinza kule kila mkitoka wanabadirisha mashuka na maji ya moto wanaweka............kazi ni kwako!!!
Huyu unaweza kuahirisha shughuli.
 
Kujua majina ya kondom haimaanishi kuwa 100%kuwa anatumiwa sana,japokuwa inawezekana,kama wewe umeamua kuwa nae mwamini her past haina maana kama ameamua kuwa na wewe unless uwe mpitaji!
 
kwani mwanamke c kaumbwa na sehemu ya kuingiliwa? Suala la kuingiliwa na watu wengi ni jambo la kawaida tu huyo bnt ni mzuri mno wengine hata jina 1 la condom hawalijui anakuwa hatari sana maana kazoea nyama kwa nyama. We usijali kama anajua majina mengi ya condom wala nini na ww muingilie basi.

nadhani mama yako akisikia hii lugha anaweza kukukana!
 
Mimi nakuambia hivi msichana ni muhuni na kama c muhuni basi aliyekuwa naye kabla yako walijaribu aina zote,hivi kwa kuiona 2 kwenye kasha utajuaje nzuri ni ipi?ukishajaribu ndio utajua ipi ipo poa,so tafakari tena abt huyo dada,
 
Back
Top Bottom