Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Leo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π π kuna tajiri alinikuta nakula ugali mkubwa mchana akaniuliza wewe huli tena mpaka kesho au?! Nikamjibu sina uhakika ndio maana nashindilia kabisaLeo nilisema niwaige matajiri mchana wa saa 8 nile matunda tu. Muda huu naelekea kusonga ugali. Njaa inauma hadi nimeukumbuka msemo wa wahenga "IGA UFE."
Sent using Jamii Forums mobile app
Na show ya usiku inakuwaje wakati tumboni kumejaa matikikiti maji?Nilifanikiwa kwa kipindi Fulani kula matunda tu usiku ila siku za mwanzo mshale ukigonga SAA nane usiku dah, unatamani uende jikoni kutafuta chochote!
Unakuja kupata usingizi SAA kumi au 11 asubuhi. Njaa ya usiku asikwambie MTU ila nilipokuja kuzoea ilikua poa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio chanzo cha kuonekana Mwizi...acha tu aiseeeeNa show ya usiku inakuwaje wakati tumboni kumejaa matikikiti maji?
π π π π π kuna tajiri alinikuta nakula ugali mkubwa mchana akaniuliza wewe huli tena mpaka kesho au?! Nikamjibu sina uhakika ndio maana nashindilia kabisa