Yaliyonikuta leo

Yaliyonikuta leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jizoeshe utazoea.. uko mbele ata ukisikia hzo harufu za pilau na mishkak utaona n ka maboga tu
Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo

kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda

nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe

yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama

Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno

namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijizoesha raha sana ,mm asubh muda mwingine huwa natumia chia seed na maziwa hapo nashiba haswaa ,,mchana natumia matunda ,jioni mbegu za maboga usiku matunda na niko freshh tu
Japo mwanzo ilikuwa ngumu sana ila nilijitahidi nikamudu na mpaka sasa kujilisha vyakula vya ngano tumbo halimudu tena

Hahah polepole nami nitafika kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo

kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda

nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe

yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama

Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno

namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] mm pia siwezi kuhimili hizo harufu hata kama na hela ya mtu atanisamehe tu kwakweli mateso ya kuvumilia harufu za misosi ni mtihani kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom