osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jizoeshe utazoea.. uko mbele ata ukisikia hzo harufu za pilau na mishkak utaona n ka maboga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo
kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda
nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe
yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama
Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno
namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app