Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
- Thread starter
-
- #21
mpolee nilifikiri ujio wako mpya utakuwa mkalii. nakukaribisha weekend ya leo ili tuitafute password uliyoipoteza.
pole maskini mpolee,hadi umekonda kwa siku mbili!!
Umeona eh?pole maskini mpolee,hadi umekonda kwa siku mbili!!
Unaweza kuwa mbunge,ni kujipanga tu,na kuwa na malengo sahihi yanayokubalika na watanzania na hasa vijana unaotaka kuwawakilisha.....kila la kheri Golden Mpoleee.....!! Karibu kwenye siasa!
pole maskini mpolee,hadi umekonda kwa siku mbili!!
Umeona eh?
U baki bebi,nilikuwa nimesha take u place,bora u baki,Mx
baeleze!
dude la mkama atalihimili?
Pombe kali zinapatikana mbona wewe tu. basi kazi ya passoword namuachia huyo Kuki. karibu weekendnamtaka cookie yy ndio aweza haya mambo
kama una pombe kali tumia vigezo vengine kunikaribisha!
yaani ningeku pm kabisa ila basi tu
Pombe kali zinapatikana mbona wewe tu. basi kazi ya passoword namuachia huyo Kuki. karibu weekend
Unanikuna ww umetisha,Mxnisharudi hivo wenye roho mbaya wakanywe sumu!