Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

Mtu aliyeniingiza kwenye hii dhambi ya kununua makahaba na kunywa pombe alishagaokoka zamani mimi bado nasonga mbele na uninuzi japo kwa tahadhali sana ukiniona kama mtu ila tabia zangu za sirini ni mbaya sana
Sasa hutaki kuoa?
 
hamna kazi ya kufanya
yaani kula mbususu ndio imekuwa siredi nzima
 
Kwanini huwezi nunua?
ni vile huwa naona ni kujivua utu na heshima yangu

NB:Huwa nafanya kazi za mbali,yaani mkoa tofauti na ilipo familia,yaani naweza kukaa hata miezi 6 sijaonana na mke wangu lakini siwezi kushiriki tendo na malaya
 
ni vile huwa naona ni kujivua utu na heshima yangu

NB:Huwa nafanya kazi za mbali,yaani mkoa tofauti na ilipo familia,yaani naweza kukaa hata miezi 6 sijaonana na mke wangu lakini siwezi kushiriki tendo na malaya
Sawa kabisa Kwa hiyo miezi 6 yote Huwa unavumilia au Kuna mtu 1 pembeni kidogo Huwa anakusaidia kutatua tatizo
 
ni vyema umeona mapema kuwa ulikuwa kwenye wrong company,....24 years sio mtoto kama teenagers,....kuwa na mtu ambaye anaweza kufanya mapenzi mbele yenu katika umri huo ni sign kuwa hamna kitu kichwani hapo,....
naweza sema hata hiyo suicide isingeweza kuzuirika,....
 
Mkuu mimi si mtu wa kutembea usiku yani mpaka leo na utu uzima wangu napenda saa mbili inikute home.
Mara ya kwanza kuwaona malaya wamepangana barabarani ilikuwa sinza. Nilikuwa natoka kinondoni usiku. Nilivyofala nikadhani kuna shida ya usafiri wanasubiri usafiri halafu naona vinguo vifupi. Nikawaza au nisimame nitoe lift... Baadae akili ndio ikanijia hawa watakuwa malaya tu.
 
SIO KWA UMUHIMU....
ILA VYEMA WATU WAJUE HUYO MTOTO WA BABA MDOGO ALICHUKULIWA NYOTA YAKE.(kwa kifupi)...>>Alishakufa kitambo.
suala linge kuwa hivyo matajiri africa wangekuwa ndio wana sumbua forbes hasa watanzania
 
kuna watu wanavyoandika huuu haiitaji forensic kujua yaliyotokea.


anyway ni miaka 2000 yesu akiwa israeli malaya wapo
joshua wakivamia israeli malaya wapo
misri persian turkey.
inasemekana umalaya prostutation ndio kazi yenye muda mrefu kuliko zote duniani.
usikumbuke austi,,... kipindi cha hitler...
sudan kuna eneo wamekaa kwenye kauchochoro karibu na msikiti wameinama kama mbuzi au farasi mnaita sijui stail gani yaani ni huzuni nchini.
online ndio usiseme sio dating app sio wapi mpaka hadi na tele.
nilikuja na uzi
Maono juu ya Rais ajaye: Kutoka 'Baba wa Taifa' hadi 'Baba wa wananchi' na ukombozi wa Bara la Afrika nikitoa utabiri kuwa hii kazi itakuja kurasimishwa huko mbeleni sio siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…