Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
View attachment 2330016
Toka lini malaya akawa na huruma.Kama vipi safiri na umpendaye.
 
Mimi huwa naficha funguo sehemu ambayo mimi peke yangu naweza kuiona, akitaka avunje mlango sasa.
 
Jamaa yangu alichukua malaya Dodoma, akampiga iphoné x, laptop na pesa akamwachia jero ya daladala mezani.
Baada ya hapo akampiga picha akiwa kalala uchi na wakiwa wote kitandani akawa anazitumia kuamblackmail 😆😆😆
Baaadae sana akaja kugundua wana ukoo wa mbaliii ndo kumblackmail kukaisha
Hii ni pesa sema jamaa yako hakujua
 
Kuna jamaaa alibeba maraya badae akaficha funguo na kusahau Alipo ficha mbona ata Sahau alikaaa ndani paka akakoma
 
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
View attachment 2330016
chai
 
Wengine mnalalaje kiboya hivyo?. Labda aniwekee dawa. Sinaga usingizi wa hivyo. Ajabu nilivyo hata mbwa akipita nje namsikia. Ila ndio nimelala hivyo.
 
Chai
 
Attachments

  • downloadfile-6.jpg
    downloadfile-6.jpg
    87.3 KB · Views: 4
Ilikuwa ni tarehe 12 mwezi wa 7 mwaka 2018 njiani kuelekea Tabora mjini tukiwa kwenye usafiri wa jumuiya HBS Express tukitokea Dar Es Salaam. Tulifika Tabora mjini saa tano usiku kutokana na changamoto ilijitokeza katikati ya safari Bus lilipasuka Tyre hivyo tulisubiri Tyre itoke Tabora mjini iletwe porini ambapo bus hili lilipata hitlafu, baada ya masaa mawili hivi tyre ililetwa wakafunga ngoma ikasepa. Mida ya saa tano usiku Tabora ilikuwa imezizima kiasi labda pale stend tu ndio kuna madogo wanakesha kulinda mizigo na mabus na kuuza vichipsi yai.

Nikaona niende lodge nikamtafuta bodaboda akanipeleka lodge moja inaitwa ZIMBABWE LODGE chumba 20000 nikachukua chumba ila usingizi ukagoma nikamuuliza mdada wa reception bar ya karibu nikapate kinywaji akasema niende Oxygen gas huwa wanakesha. Nilipoenda nikalewa nikachukua Malaya mmoja anaitwa Regina japo huwa wanataja majina ya uongo. Huyu Malaya nililala nae Ile kuamka saa mbili asubuhi nikakuta kaloweka nguo zangu zote, Kaiba simu yangu tecno photom six, Kaiba wallet jinsi ilivyo Ina pesa zote na vitambulisho.

Akaacha ujumbe wa maandishi mezani KOMA KUCHUKUA MALAYA USIOWAJUA KWAO NI WAPI. Nilitaka kulia ila kwa kuwa mimi ni mwanaume nilijikaza kisabuni, wahudumu walicheka sana wakisema mkaka umetoka safarini badala ulale unafanya uzinifu wa kipumbavu, walinitukana japo hawanijui heshima yangu ikawa zero. Nilichukuwa zile nguo nikaanika zilipokauka nikasepa bila kuaga.
View attachment 2330016
unapataje usingizi ni limtu ligeni chumbani
yaani hata kwa dawa siwezi hiyo kitu. usirudie mkuu
 
Back
Top Bottom