Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Vingo

Vingine ni chamsha baraza..

Tunawajua wauza nyabwa, wa dar unamkuta mpaka songea huko, wengine wanakodi chumba kabisa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu wewe mzoefu kwastaili hii Malaya hawezi kukuletea uhuni maana chocho na janjajanja zao zote unazijuwa
 
Bwashee umeibiwa smartphone yako halafu umebaki kukodoa macho kama vyura wa jangwani ina maana hujui hata imei number ya simu yako ili umtie mbaroni huyo kibaka wa kike?

Ni hivi, mwizi yeyote mjanja hawezi iba smart phone maana anajua fika hiyo kitu itawaelekeza voda alipo huyo mwizi 😂😂

Ila nahisi wewe na huyo kibaka wa kike wote ni vilaza tu, pole sana.
 
hahahahahahaa tabora mimi huwa naficha ufunguo na huwa mara nyingi na mchana live bila huruma kuwa mambo ya kuibiana sitaki. nampa chake basi. japo niliwahi kulizwa mara moja nashukuru hakuchukua laptop maana ingekuwa ni balaa na pesa niliacha 15k kwenye wallet kwa ajili yake so alivyo ibaaa na kasimu kangu ka kimeo ka tecno ka button ka buku 20k line ilikuwa ya halotel ambayoo situmiaa akachukua na modem basi. nikaamka naangalia sioni mtu nikacheka nikaingia uvunguni nikatoa mazaga yangu yote. nikaenda kunywa bia tena kiroho safiii.
 
Wewe ulikuwa mjinga sisi,tunafunga mlango alafu funguo tunaweka reception na kutoa ela kwa mtu wa reception,na wallet tunatoboa godoro tunaifichia huko
 
Eti utakuta mtoto chuchu msumari aisee..mi hapa uzalendo lazima unishinde!!…sijawahi kuchomoka kwenye hicho kipengele cha chuchu saa 6..
Pana mtu alienda seminar mkoani akaopoa fish fish chuchu msumari akajifanya fundi wa kunyonya embe sindano akajikuta kaamka Saa nne kwa kuamshwa na muhudumu kaachiwa bastola pekee yake,malaya kakomba KILA kitu kuanzia pochi,begi la nguo, laptop na flash yake ya kuprezent kwenye kikao ofisini kesho.
 
Kufatilia simu hizi za android mpaka umkute at zero distance sio rahisi kama unavyofikiria
 
Una moyo wa kuootezea very good kamanda
 
Wewe ulikuwa mjinga sisi,tunafunga mlango alafu funguo tunaweka reception na kutoa ela kwa mtu wa reception,na wallet tunatoboa godoro tunaifichia huko
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kudadeki
 
Huyo Malaya bwege sana, unaachaje bastola ahsee
 
Uliibiwa kizembe sana. Huwa tunaficha funguo wakishaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…