Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
USD 10. Gbpusd na eurusd. Lot sijazidi 0.01-0.06Ilikua na kiasi gani hio akaunti?
Ulikua una trade pair zipi?
Lot size ilikua ngapi?
Total trades zilikua ngapi?
Imefanyajeforex again
Heshima kwenu wanajukwaa,
Jana, wakati tunakumbuka tukio la kigaidi la kule nchini Marekani nikajikuta naingia katika vitabu vya historia kwa namna yake.
1. Nilikua na trade FX, nikajikuta nachoma account yangu, daah! acheni tu
2. Nikiwa nasikilizia maumivu, nikapokea message ya BREAK UP kutoka kwa manzi (pisi) yangu. Ilhali tulishapanga kukutana hivi karibuni.
Maumivu nlopata acheni tu!
"Pesa ndio jawabu la mambo yote"
Hiyo ni trade ya Sirjeff. (Ontario)Umeunguza hela ngapi bhana...!?
View attachment 1567467
Hiyo ni trade ya Sirjeff. (Ontario)