Yaliyopo Dubai yanatisha

Yaliyopo Dubai yanatisha

Wakati Tanzania na Nchi nyingi za Kiafrika zinachukua Uhuru miaka ya 60 Dubai kilikuwa Kijiji cha wazamia Lulu.

Leo hii wamefanya Jangwa lionekane mahala pa maana na sisi huku tumekuwa ni kama Kijiji cha Wachawi roho mbaya kuteka kuuwa kupoteza nk.
Leo hii wamefanya Jangwa lionekane mahala pa maana na sisi huku tumekuwa ni kama Kijiji cha Wachawi roho mbaya kuteka kuuwa kupoteza nk.😭
 
Wakati Tanzania na Nchi nyingi za Kiafrika zinachukua Uhuru miaka ya 60 Dubai kilikuwa Kijiji cha wazamia Lulu.

Leo hii wamefanya Jangwa lionekane mahala pa maana na sisi huku tumekuwa ni kama Kijiji cha Wachawi roho mbaya kuteka kuuwa kupoteza nk.
Mafuta
 
Watu weusi tutaacha lini kulialia? Pubav kabisa drama, kwani amelazimishwa kukaa huko?
 
Ukweli uzungumzwe, waafrika wametengeneza reputation mbaya kwenye uso wa dunia, Tunaishia kubaki kulialia, Dubai asilimia 90% ya matukio ya kihalifu yanafanywa na watu weusi.
 
Ubaguzi upo, cha msingi ni kubaki ktk Nchi zetu, tufanyekazi kwa bidii, tufanye biashara, ujasiriamali n.k, tujitafute ili tujipate.

Chamsingi kuelewa, ubaguzi hauwezi kuisha na kulia lia hakutatusaidia. Ikiwezekana kama tunao waarabu kwenye Nchi zetu nao tuwabague tu Nguruwe hao.
 
Hata Nigeria Angola Equatorial Guinea Congo Brazaville nk. Yapo.
Angola, Equatorial Guinea,Congo Brazaville kuko poa kiasi licha ya kuwa na vimafuta vya Kuunga unga kama Uganda,UAE Wana Mafuta ya maana .

Nigeria wanasumbuliwa na idadi kubwa ya watu.
 
Angola, Equatorial Guinea,Congo Brazaville kuko poa kiasi licha ya kuwa na vimafuta vya Kuunga unga kama Uganda,UAE Wana Mafuta ya maana .

Nigeria wanasumbuliwa na idadi kubwa ya watu.
Eti "vimafuta vya kuunga unga"😁 nawewe umeingia kwenye mtego huo, hivyo ndivyo wanavyoambiwa Wananchi wa Nchi hizo ili fedha ziibiwe na wanasiasa na familia zao.

Msikilize Isabel Dos Santos mtoto wa Raisi wa zamani wa Angola ambaye inasemekena ni Mwanamke tajiri sana Afrika, kazitoa wapi?
Sikiliza hii Interview...

View: https://youtu.be/WBssyXmojgU?si=tEgMX0__Kf8vRgGA
Pia iko siku utasikia Abduli mtoto Samia na yeye ni Tajiri namba moja Afrika ya Mashariki lazima utajiuliza kazitoa wapi labda kwasababu wewe ni Chawa utatupiwa makombo ili uweze kusifia utajiri wake.
AFRIKA NI BARA LILILOJAA WAIZI NDIO MAANA HALIENDELEI LINAENDELEA KUWA MASIKINI SIKU HADI SIKU.
 
Mtu mwenye akili timamu unawezaje kuwa na ushirika na jamii iliyolaanika kama waarabu?
Huko kwa mabwana zenu wanaowaoa, kina Tony Blair, waarabu ndiyo wawekezaji wakubwa......kuwatukana au kuwachukia haitosaidia Wala kuondoa ukweli huo. Minduku nyie!!
 
Huko kwa mabwana zenu wanaowaoa, kina Tony Blair, waarabu ndiyo wawekezaji wakubwa......kuwatukana au kuwachukia haitosaidia Wala kuondoa ukweli huo. Minduku nyie!!
Makobaz hampend kusikia lolote baya kuhusu hao mashoga waliowafundisha kuswali kwa style ya chuma mboga. Miarab ni mijitu katili kuliko jamii yoyote ya wanadam. Huoni yalivyojichanganya kwa Yahudi matokeo yake yanaangamia kama mbu walopuliziwa rungu.
 
Hii dunia ukitoa wanyama kiumbe kinachofuata kwa unyonge ni mtu mweusi.
images (12).jpeg
 
Kila siku ya Mungu nakutana na clip ya dada wa kiafrika hasa wakenya akilalamikia unyanyaswaji wa wanaokwenda kufanya kazi uarabuni. Ni hivi: culture za waarabu zinaruhusu utwana na ubwana na pia wanaamini kuwa mtwana ni lazima ateseke. Tajiri akiagiza aletewe dada wa kazi kutoka Afrika huwa anasema ''nimeagiza mtumwa''. Kinachonishangaza ni kwa nini hawa wasichana bado wanakimbilia huko? Ni akili za nyani? Uhai na fedha ni kipi muhimu? Wengine wanajaribu kuilaumu serikali na viongozi, kwanini wanapelekwa kwa nguvu?
Bongo ukiiongelea vibaya Dubai ni sawa na kuitukana dini ya Waethiiopia, so utaonekana unaichukia dini ya Maabudha.
 
Makobaz hampend kusikia lolote baya kuhusu hao mashoga waliowafundisha kuswali kwa style ya chuma mboga. Miarab ni mijitu katili kuliko jamii yoyote ya wanadam. Huoni yalivyojichanganya kwa Yahudi matokeo yake yanaangamia kama mbu walopuliziwa rungu.
Nakuuliza hv, huko kwa waume zenu waliotunga Sheria kabisa za kujihalalishia kuwaoa, waarabu hawapo?!!!
 
Nakuuliza hv, huko kwa waume zenu waliotunga Sheria kabisa za kujihalalishia kuwaoa, waarabu hawapo?!!!
Kwa kuwa wewe umeolewa haimaanishi kila mtu ataolewa, mbona mamako amezalishwa bila kuolewa? kama warabu wapo kwenye nchi zilizohalalisha ushoga kisheria maana yake wamefuata fursa ya kuolewa na mashoga kisheria.
 
Back
Top Bottom