Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hili nalo litapita.Vya buree vina gharamaa,
Kule kwetu Songea tuna msemo wetu.
"Cha mundu, mahi" woyooooooooh
Kila mla vya wenzie na vyake pia huliwa🤣🤣Walikua wanakula million za magoli, Ndege za bure kwenda kwa waarabu na sasa Mbeya jumlisha na pilau la nguvu ikulu.
Kumbe walikuwa wanaiingia mtegoni,Kweli yanga wajinga sana.
Huyo Engineer sasa hivi anajiona boya sana kwa mana kauli zake za kumkataa dogo sasa anamlilia waziwazi kwa maana amekula vya wanaume sasa anavilipia
Ukiona Rais anakupa ndege, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakupa hela, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakuita IKULU, HUO NDIO MTEGO HUO.
Hahahahahahahahaha! ule wimbo wao umewarudia wenyewe dadeki.
Kwa akili yako ndo inakwambia rais anaweza kuamua FEI acheze timu ganiSamia kawaseti kuanzia mbali sana kuanzia kwenye magoli, ndege, kuwaalika IKULU, halafu mwishoni wamejiweka kwenye taget wenyewe baada ya kuomba kuongezewa eneo, mama kaweka kidole kwenye trigger kawabutua buuuuh! Saizi wanazijutia zile mil. 120
Umeona nimeongelea kuhusu kuchaguliana timu hapo ndugu yangu? Try to think big mkuu.Kwa akili yako ndo inakwambia rais anaweza kuamua FEI acheze timu gani
Utumbu ulioandika hapo kwamba mama ameset mipango anawalipua yangaUmeona nimeongelea kuhusu kuchaguliana timu hapo ndugu yangu? Try to think big mkuu.
Hoja yako ni dhaifu sana, sidhani kama nimeijumuisha Yanga kwenye lile andiko langu mkuu.Utumbu ulioandika hapo kwamba mama ameset mipango anawalipua yanga
mil 100 ipi?? hatuna hata mia mbovu sasa hivi,Nashauri yanga wasimbakize fei wachukue hio 100M aliyokuja nayo wakanunue Kiungo mwenye kiwango , malengo ya yanga sasa ni makubwa tofauti na mwaka Jana
Nani kakwambia thamani ya fei ni 100mil? Thamani ya fei ni kuanzia 350mil na sio vinginevyoNashauri yanga wasimbakize fei wachukue hio 100M aliyokuja nayo wakanunue Kiungo mwenye kiwango , malengo ya yanga sasa ni makubwa tofauti na mwaka Jana
Ingawa namheshimu rais wangu sijapenda kujiingiza ktkt suala la yule dogo. Sijui ni uzanzibari au ni nini, yule dogo ana kiburi, jeuri, dharau kwa viongozi wake. Hata km ktkt hili atatoboa yule dogo hatafika kokote, ktk maisha haya unatakiwa uwe mnyenyekevu, mwenye utii, mwenye nidhamu ya hali ya juu kwa wakubwa zako hasa wanaokupatia mkate wako wa kila siku. Rais amempa wakati mgumu rais wa Yanga. Hata hiyo timu itakayomchukua wana uhakika gani km atabadilika na kuwa na nidhamu na heshima kwa viongozi? Maana mtetezi wake bado yupo na naamini atakuwepo mpaka 2030, sijapenda, na yule dogo hana adabu kwa ufupi.Mara baada ya tamko la Rais, na after dinner Magogoni, kulikuwa na vichuguu vya hapa na pale kama mchwaz vichuguu namaanisha mikutano isiyo rasmi na baadae kichuguu kikuu ambacho muhandisi alikiendesha ila kwa kusikiliza tu, hakuwa na la kuchangia.
Agenda kuu ikiwa ni jinsi ya kulimaliza hili kwa fumabate yaani bila madhara kwa team na pia ili dogo asiwapande kichwani kwani kauli ya mkuu wa nchi ni maelekezo na takwa la kutekelezwa.
Ilidhaniwa kuamuliwa kuwa mtoto pendwa Zanzibar the finnest, abembelezwe arudi abakie Yanga hadi mwisho wa mkataba wake na changamoto zake na matakwa yote yaafikiwe. Shida ikaja kuwa hili litamdunisha sana mhandisi rais na ikizingatiwa kauli zake na wapambez za karibuni kuhusu dogo. Kwani machawa nao kujumlisha wachagoat walikuwa wameshachukua sides na bahasha za kaki kuendelea kumkandamiza.
Iliamuliwa hivyo ingawa muhandisi hakuwa na furaha na lakufanya, ila sasa dogo kuvutiwa waya yeye msimamo wake uko pale, abaki yeye ama Eng. Na sio tetesi bali muongozo ni kuwa anataka atatuliwe hilo ile aende upande wa pili msimu huu. Confirmed.
Angalizo: Yanga msiliamue kwa mihemko ya matamako na matamanio ya wanasiasa. Kuna FIFA na CAF mbele yenu.
Frengwa, kama jana kama leo kama juzi, ya kesho majaaaliwa.
Kula uliwe injinia kubali kuliwa tu kwani vipi hahahaWalikua wanakula million za magoli, Ndege za bure kwenda kwa waarabu na sasa Mbeya jumlisha na pilau la nguvu ikulu.
Kumbe walikuwa wanaiingia mtegoni,Kweli yanga wajinga sana.
Huyo Engineer sasa hivi anajiona boya sana kwa mana kauli zake za kumkataa dogo sasa anamlilia waziwazi kwa maana amekula vya wanaume sasa anavilipia