Yaliyopo: Yanga wanahaha kumrudisha Feisal kambini na kumuongezea mshahara anaoutaka

Yaliyopo: Yanga wanahaha kumrudisha Feisal kambini na kumuongezea mshahara anaoutaka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mama anatakiwa ajizuie kutoa maelekezo ya jinsi ya kuendesha klabu; vinginevyo ataporomoshewa matusi na ajione kama takataka za pugu
 
Rais kuingilia maswala ya soka ni ujaha. Hivi haambiwagi mambo ya kuacha .siasa haitakiwi kwenye sport hawa Wapemba wata tuzoea sana
 
Ile kauli ya Wamakonde imewapata Uto "Ukichimama nchale, Ukikaa nchale". 😆😆😂 Wamewekwa angle mbaya sana!

Sasa hivi wanajamba tu, na lile pilau la Ikulu, you can imagine harufu ya ushuzi wao. 🤣
 
Vya buree vina gharamaa,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Kule kwetu Songea tuna msemo wetu.
"Cha mundu, mahi" woyooooooooh
Hili nalo litapita.
 
Walikua wanakula million za magoli, Ndege za bure kwenda kwa waarabu na sasa Mbeya jumlisha na pilau la nguvu ikulu.

Kumbe walikuwa wanaiingia mtegoni,Kweli yanga wajinga sana.

Huyo Engineer sasa hivi anajiona boya sana kwa mana kauli zake za kumkataa dogo sasa anamlilia waziwazi kwa maana amekula vya wanaume sasa anavilipia
Kila mla vya wenzie na vyake pia huliwa🤣🤣
 
Ukiona Rais anakupa ndege, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakupa hela, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakuita IKULU, HUO NDIO MTEGO HUO.

Hahahahahahahahaha! ule wimbo wao umewarudia wenyewe dadeki.
 
Ukiona Rais anakupa ndege, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakupa hela, MTEGO HUO
Ukiona Rais anakuita IKULU, HUO NDIO MTEGO HUO.

Hahahahahahahahaha! ule wimbo wao umewarudia wenyewe dadeki.

Asituletee ujinga wa kwao, hapa sheria ni kufuata mkondo wake, watatuzoea hawa.
 
Samia kawaseti kuanzia mbali sana kuanzia kwenye magoli, ndege, kuwaalika IKULU, halafu mwishoni wamejiweka kwenye taget wenyewe baada ya kuomba kuongezewa eneo, mama kaweka kidole kwenye trigger kawabutua buuuuh! Saizi wanazijutia zile mil. 120
 
Kwa akili yako ndo inakwambia rais anaweza kuamua FEI acheze timu gani
 
Fei tatizo lake ni huyo shifta anataka kumgeuza upinde na dogo siyo michezo yake hiyo.
 
Nashauri yanga wasimbakize fei wachukue hio 100M aliyokuja nayo wakanunue Kiungo mwenye kiwango , malengo ya yanga sasa ni makubwa tofauti na mwaka Jana
mil 100 ipi?? hatuna hata mia mbovu sasa hivi,

amueni tuwe huru au mkataba wa bil1 signing fee na mshahara wa mil100 au injinia atokee
 
Mara baada ya tamko la Rais, na after dinner Magogoni, kulikuwa na vichuguu vya hapa na pale kama mchwaz vichuguu namaanisha mikutano isiyo rasmi na baadae kichuguu kikuu ambacho muhandisi alikiendesha ila kwa kusikiliza tu, hakuwa na la kuchangia.

Agenda kuu ikiwa ni jinsi ya kulimaliza hili kwa fumabate yaani bila madhara kwa team na pia ili dogo asiwapande kichwani kwani kauli ya mkuu wa nchi ni maelekezo na takwa la kutekelezwa.

Ilidhaniwa kuamuliwa kuwa mtoto pendwa Zanzibar the finnest, abembelezwe arudi abakie Yanga hadi mwisho wa mkataba wake na changamoto zake na matakwa yote yaafikiwe. Shida ikaja kuwa hili litamdunisha sana mhandisi rais na ikizingatiwa kauli zake na wapambez za karibuni kuhusu dogo. Kwani machawa nao kujumlisha wachagoat walikuwa wameshachukua sides na bahasha za kaki kuendelea kumkandamiza.

Iliamuliwa hivyo ingawa muhandisi hakuwa na furaha na lakufanya, ila sasa dogo kuvutiwa waya yeye msimamo wake uko pale, abaki yeye ama Eng. Na sio tetesi bali muongozo ni kuwa anataka atatuliwe hilo ile aende upande wa pili msimu huu. Confirmed.

Angalizo: Yanga msiliamue kwa mihemko ya matamako na matamanio ya wanasiasa. Kuna FIFA na CAF mbele yenu.

Frengwa, kama jana kama leo kama juzi, ya kesho majaaaliwa.
Ingawa namheshimu rais wangu sijapenda kujiingiza ktkt suala la yule dogo. Sijui ni uzanzibari au ni nini, yule dogo ana kiburi, jeuri, dharau kwa viongozi wake. Hata km ktkt hili atatoboa yule dogo hatafika kokote, ktk maisha haya unatakiwa uwe mnyenyekevu, mwenye utii, mwenye nidhamu ya hali ya juu kwa wakubwa zako hasa wanaokupatia mkate wako wa kila siku. Rais amempa wakati mgumu rais wa Yanga. Hata hiyo timu itakayomchukua wana uhakika gani km atabadilika na kuwa na nidhamu na heshima kwa viongozi? Maana mtetezi wake bado yupo na naamini atakuwepo mpaka 2030, sijapenda, na yule dogo hana adabu kwa ufupi.
 
Walikua wanakula million za magoli, Ndege za bure kwenda kwa waarabu na sasa Mbeya jumlisha na pilau la nguvu ikulu.

Kumbe walikuwa wanaiingia mtegoni,Kweli yanga wajinga sana.

Huyo Engineer sasa hivi anajiona boya sana kwa mana kauli zake za kumkataa dogo sasa anamlilia waziwazi kwa maana amekula vya wanaume sasa anavilipia
Kula uliwe injinia kubali kuliwa tu kwani vipi hahaha
 
Back
Top Bottom