Watoto wa maskini wanaua ndugu zao bila huruma, "INASIKITISHA SANA KWA UMWAGAJI WA DAMU" Viongozi waliokabidhiwa kushika silaha hebu wajihoji kutokea kwa haya matukio tena kwa vijana wao. Wajiulize waliokuwa wanaandamana walikuwa wamebeba silaha? kwa nini silaha zipigwe na kuua nguvu kazi ya Taifa. TANZANIA ya sasa naihurumia kwa matukio yanayoongozwa na tuliowapa madaraka... Eeee MUNGU wasaidie inawezekana tuliwapa madaraka waliozaliwa na Mbegu nyingi za "KISHETANI" I HATE, I HATE I HATE THEM SO MUCH!!!!