Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

Richmond, Aggreco, Dowans,Epa,Meremeta,Maisha magumu. Zambi zote hizo na bado nyingi aziwatoshi. Serekali nzima washenzi wa akili. Askari police wote ni maadui zangu. Nitalipiza kisasi kivyangu vyangu. Subirini mtasikia.
 
Unajua hii picha huyu kijana alipigwa risasi na mwenye Bar huko Ilala Bungoni Bar inaitwa Miami hii sio Arusha
 
kuna ''mshabiki wa sisiem'' yeyote anaye ''support'' jambo hilo jameniiiiii,ni oder iliyotoka kwa viongozi wetu hiii!!!!!!!!!:ballchain:
 
inauma sana sana tena sana, na ipo siku kila kitu kitajulikana na wote watajuta
 
IGP Mwema, kwa mujibu wa taarifa za kiintelegensia, ni nani aliyemuua huyu mtanzania? Utueleze tu taratibu tutaelewa. Ni nani na kwa nini? Mtanzania huyu alikuwa tishio kwa amani ya eneo alilokuwepo? Ki vipi? Alikuwa na silaha? Askari aliyempiga risasi alikuwa umbali gani? Kama alishindwa kumdhibiti hakuweza kumpiga risasi ya mguu? Kumpiga risasi mtu kifuani, ambaye hakuwa na silaha ni mauaji. Aliyefanya hivyo anapaswa kushtakiwa kwa mauaji ya makusudi.
 
Wapiganaji wote waliopoteza maisha, may all of you RIP,
Mungu awajalie nguvu wale wote wanaochukizwa na udhalimu huu!
Haya yana mwisho, aluta continua!!!
 
Wapiganaji wote waliopoteza maisha,

acha kujiliwaza hawa hawakuwa wapiganaji wao walikuwa ni wapigwaji tu, hawakuwa na uwezo wa kurudisha hata kwa mawe, wamechinjwa kama kuku bila hata kujitetea, na huuu sasa ndio muelekeo.
 
kuna ''mshabiki wa sisiem'' yeyote anaye ''support'' jambo hilo jameniiiiii,ni oder iliyotoka kwa viongozi wetu hiii!!!!!!!!!:ballchain:

sio washabiki wa CCM, ni wa tz wote tunapenda kuona jeshi letu likisimamia amani na utulivu ikibidi hata kwa kuwatoa kafara wachache wanaotaka kuharibia nchi yetu.
 
Inasikitisha sana ni rahisi sana mtu kusema chochot eanachojisikia, But if you put yourself in the position of their families and beloved ones
you Cannot take this issue that lightly na kusema kuua wachache wanao taka kuleta fujo. Damu isio na hatia inamwagika kwa Ujinga wa
wanaojiita viongozi wachache, Damu ya mtu haiwezi mwagika buree, Siku yao haiko mbali. May ur souls rest in peace.
 
RIP Mpiganaji!
Hivi JK kashaongea lolote au ndo alimtuma Riz1 au anasubiri mwisho wa mwezi?
 
RIP our dear brothers,your blood will be upon their heads for real your blood will not end into vain
 
Kikwete Endelea Kula Kuku kamanda, sikutofautishi na Jambazi mwingine yeyote, ninachoweza kusema ninawaombea Mungu awabadilishe kama alivyo mbadilisha SAuli Mpinga Kristo na kuwa Paulo wa Leo. Matendo 9:1-22.

Ni kweli Mungu anampango na Tanzania, na pia ujue kuwa amani haiji ila kwa ncha ya upanga.

Tunawaombea Marehemu hawa Mungu awaweke pema peponi, roho wa marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani Amina!
 
Can someone please supply me with the names, age, gender of the people who were killed by the police in Arusha?
 
Sidhani KAMA HIYO INATOSHA KUKATIShA TAMAA WANAMAPINDUZI.
sHUJAA MMOJA AKIFA WENGINE KUMI WANAZALIWA.
 
Back
Top Bottom