hapana ndugu zangu kesi za uchaguzi kulingana na sheria ya uchaguzi zinatakiwa ziiishe ndani ya miaka miwili, hivyo tusipotoshwe. katika maaumizi mahakama inaweza kutoa uamuzi kuwa
1. kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa jimbo husika kwa kutengua mshinid aliyetangazwa awali, ikiwa ushahidi uliopo hauna mashaka na hivyo tusiogope kwani kwa nchi zetu kupata haki ni gharama
2. kufuta matokeo ya uchaguzi na kuagiza uchaguzi kurudiwa
bado tuna nafasi ya kuwachemsha chama cha majemedari( e.g. makamba- luteni, kinana -kanali, kikwete- captain n.k)
shime tuanze mchakato wakati watu hawajasahau machungu ya kudhulumiwa haki yao