Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
tulia wewe, kama huku-bet ni peke yako.!1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2.Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3 2
3.Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4.Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha ushabiki kiongozi referee alikuwa sahihi kabisa..Coastal wajilaumu wenyewe Kwa upuuzi waliyoufanya1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Una mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na YangaUkisikiliza vipindi fulani vya michezo utasikia wanasema ligi yetu imekuwa bora sasa.
Bahasha zimekuwa nyingi hata kama coastal union walikuwa wanapoteza muda ila ziliongezwa nne kufidia zilizopotezwa je ndio wacheze hadi zifike 101?
TFF kabidhini tu kombe kwa UTO tufanye ligi imeisha sio kupoteza muda kuangalia mpira wa hovyo
Hutaki kombe???? π π πUna mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na Yanga
Naona ile sehemu hapo nyuma unapokalia ule mwiko wenu pale nyuma panakutesq kabwiliUna mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na Yanga
Hawa ni washabiki wa Simba... Hovyo kabisaa, mechi hawaangalii kazi kulialia mitandaonimtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Ana mimba ya Mayele huyo kolo mwache azaeUna mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na Yanga