Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.

2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2

3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango

4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
 
Ukisikiliza vipindi fulani vya michezo utasikia wanasema ligi yetu imekuwa bora sasa.

Bahasha zimekuwa nyingi hata kama coastal union walikuwa wanapoteza muda ila ziliongezwa nne kufidia zilizopotezwa je ndio wacheze hadi zifike 101?

TFF kabidhini tu kombe kwa UTO tufanye ligi imeisha sio kupoteza muda kuangalia mpira wa hovyo
 
1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2.Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3 2
3.Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4.Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
tulia wewe, kama huku-bet ni peke yako.!
 
1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.

2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2

3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango

4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha ushabiki kiongozi referee alikuwa sahihi kabisa..Coastal wajilaumu wenyewe Kwa upuuzi waliyoufanya
 
Nipo upande wa refa licha ya kuwa sishabikii soka la bongo na yote sababu ni nidhamu ya wachezaji wa kibongo na ligi nzima...

Yaani ukitaka kuchukia mpira wa bongo timu underdog ifunge goli la mapema yaani soka linakuwa limeisha...

Kujiangusha angusha kusiko isha, kujiumiza ata kama mchezaji hakuguswa....

Leo refa kawaonesha wachezaji wazembe namna watazamaji wanapenda soka na siyo maigizo maana wanatoa pesa na muda wao ili kupata burudani na siyo vinginevyo...

NOTE:

"Angalia world cup uone mpira siyo maigizo"

Asante
 
...na muhindi mambo ya refaree hayamuhusu hata angeongeza dakika 20..kwa kweli muhindi anaupiga mwingi sana!
 
Huwa nawashangaa sana marefa wa ligi ya NBC, unakuta timu inapoteza muda kijinga halafu dakika za nyongeza zinakuwa chache sana na bado na zenyewe zinakuwa kama maigizo tu. Namsifu sana refa wa leo, marefa wengine wajifunze. Coastal Union wanatakiwa kuadhibiwa vikali na mamlaka za mpira ili uhuni huu usije jirudia.
 
Ukisikiliza vipindi fulani vya michezo utasikia wanasema ligi yetu imekuwa bora sasa.

Bahasha zimekuwa nyingi hata kama coastal union walikuwa wanapoteza muda ila ziliongezwa nne kufidia zilizopotezwa je ndio wacheze hadi zifike 101?

TFF kabidhini tu kombe kwa UTO tufanye ligi imeisha sio kupoteza muda kuangalia mpira wa hovyo
Una mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na Yanga
 
Una mimba sio bure, nyinyi msimu huu mmepewa magoli mangapi ya offside? scenario inahusu Azam lakini unawashwa na Yanga
Naona ile sehemu hapo nyuma unapokalia ule mwiko wenu pale nyuma panakutesq kabwili
Wewe ni UTO kuanika na kuanua
 
mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Hawa ni washabiki wa Simba... Hovyo kabisaa, mechi hawaangalii kazi kulialia mitandaoni
 
Kuna watu wana mimba za Simba ila hawajijui ngoja wazae tu nyau 😆 😆 😆 😆 😆 . Sijamtaja mtu atakae jibu ndo yeye
 
Back
Top Bottom