ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unashinda ya malezi na udumavu wa akili endelea kutukanaNaona ile sehemu hapo nyuma unapokalia ule mwiko wenu pale nyuma panakutesq kabwili
Wewe ni UTO kuanika na kuanua
Hakuumia ndugu, alileta ule upuuzi wa kupoteza muda, karma ikamuhukumu.mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Mechi ya Azam na Coast Yanga anahusika nini kwamba ametoa bahasha ili Azam ashinde au nini kitokee? mwambie ndugu yako apunguze mihadaratiHutaki kombe???? [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Umeumia ? Kwanini uanze kuandika vitu vya hovyo ukijua na wewe una moyo kama mimiUnashinda ya malezi na udumavu wa akili endelea kutukana
Hapa mlinunuliwa sh ngapi?Yanga siku hizi ananunua mechi atakavyo. Vijana wa chamazi wameona na wao wachangamke
Mimi naona aliongea ki positive tuu kwa sbb nyie ndo mko kileleni kutokana na yy anavyoona mpira unaendeshwa it means kama ukistopishwa leo basi kombe ni lenu that's it. Ila nyie mmechukulia kama kawabeza ila sidhani kama alikua na maana hyo.Mechi ya Azam na Coast Yanga anahusika nini kwamba ametoa bahasha ili Azam ashinde au nini kitokee? mwambie ndugu yako apunguze mihadarati
WAnaumia mimi kuwaito utoMimi naona aliongea ki positive tuu kwa sbb nyie ndo mko kileleni kutokana na yy anavyoona mpira unaendeshwa it means kama ukistopishwa leo basi kombe ni lenu that's it. Ila nyie mmechukulia kama kawabeza ila sidhani kama alikua na maana hyo.
Coast union ni tawi la wale ngada fc sasa walihaidiwa wakishinda na kuisimamisha Azam watapata mpunga mrefu lakini mambo yamekwenda kombo ndo umeona wamehamaki kweli mipango aijatimia,,na washirika wao wameeendelea kusukumizwa nafasi ya 3, Sasa kama wanazo hasira wakazimalizie kwa washirika wao watakapokutana mechi ijayo waache upuuzi wanapoteza muda alafu wanategemea refa apulize filimbi ya kumaliza mpira ovyo kabisa hawa watu1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.
2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2
3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango
4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ww unaumia kuitwa ngada?.ktk majina ambayo hayaniumini ni hili maana ni upuuzi mtupu.WAnaumia mimi kuwaito uto
Je wanavyotuita humu wala ngada? Makolo mbumbumbu?
Sina muda wa kubembeleza wa kumchekea mtu anaponiquote kejeli
I'm living my life kwani leo ndio mara yako ya kwanza kunitukana? nisha kupuuzaUmeumia ? Kwanini uanze kuandika vitu vya hovyo ukijua na wewe una moyo kama mimi
Jifunze kuwa mstaarabu sawa kijana
Wala siumii na sina muda na hayo majina point amenikejeli nimejibu kwa kejeli kama alivyoleta yeye apqmbane na hali yakeWw unaumia kuitwa ngada?.ktk majina ambayo hayaniumini ni hili maana ni upuuzi mtupu.
Yah ni kweli maana alianza kukwambia una mimba ...basi yaishe tuendelee na utani wenye afyaWala siumii na sina muda na hayo majina point amenikejeli nimejibu kwa kejeli kama alivyoleta yeye apqmbane na hali yake
Shida zakoI'm living my life kwani leo ndio mara yako ya kwanza kunitukana? nisha kupuuza
Kwani sisi ndio tuliwambia mfungwe na Azam FC? mngekua mnaongoza ligi story za bahasha zingekupo?Mimi naona aliongea ki positive tuu kwa sbb nyie ndo mko kileleni kutokana na yy anavyoona mpira unaendeshwa it means kama ukistopishwa leo basi kombe ni lenu that's it. Ila nyie mmechukulia kama kawabeza ila sidhani kama alikua na maana hyo.
✊🏿Yah ni kweli maana alianza kukwambia una mimba ...basi yaishe tuendelee na utani wenye afya
Usinijibu mimi sasa sijaongea habari za bahasha hapa na hua sina huo muda. Kufungwa kwani ajabu?Kwani sisi ndio tuliwambia mfungwe na Azam FC? mngekua mnaongoza ligi story za bahasha zingekupo?
KabisaHuwa nawashangaa sana marefa wa ligi ya NBC, unakuta timu inapoteza muda kijinga halafu dakika za nyongeza zinakuwa chache sana na bado na zenyewe zinakuwa kama maigizo tu. Namsifu sana refa wa leo, marefa wengine wajifunze. Coastal Union wanatakiwa kuadhibiwa vikali na mamlaka za mpira ili uhuni huu usije jirudia.