Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

Yaliyotokea Leo Chamazi baina ya Azam vs Coastal Union ni aibu kubwa sana kwa soka letu Tanzania

mtoa mada una matatizo ujaangalia mechi live dk4 zimeongezwa mpaka zimeisha hakuna ata dk moja iliyochezwa kipa aliumia kuanzia dk 89 mpka dk 95 ndio mpira unaendlea sasa ww ulitaka refa amalize mpira kwa dk ambazo azijachezwa
Hakuumia ndugu, alileta ule upuuzi wa kupoteza muda, karma ikamuhukumu.

Sent from my Infinix X652A using JamiiForums mobile app
 
Yanga siku hizi ananunua mechi atakavyo. Vijana wa chamazi wameona na wao wachangamke
Hapa mlinunuliwa sh ngapi?
1666969942928.jpg
 
Mechi ya Azam na Coast Yanga anahusika nini kwamba ametoa bahasha ili Azam ashinde au nini kitokee? mwambie ndugu yako apunguze mihadarati
Mimi naona aliongea ki positive tuu kwa sbb nyie ndo mko kileleni kutokana na yy anavyoona mpira unaendeshwa it means kama ukistopishwa leo basi kombe ni lenu that's it. Ila nyie mmechukulia kama kawabeza ila sidhani kama alikua na maana hyo.
 
WAnaumia mimi kuwaito uto
Je wanavyotuita humu wala ngada? Makolo mbumbumbu?
Sina muda wa kubembeleza wa kumchekea mtu anaponiquote kejeli
 
1. Dakika za nyongeza zilikuwa 4 lakini zimepigwa dakika za nyongeza 10.

2. Baada ya kuongeza dakika hizo, azam wakafanikiwa kufunga bao la 3 na la ushindi, hivo matokeo yakawa 3-2

3. Vurugu kubwa imetokea uwanja wa chamazi kutoka kwa wachezaji wa coastal ambao waliona dhahiri shahiri haukuwa mpira tena bali ni mipango

4. Ligi imeshafikia pabaya, mazingira ya leo pale chamazi yameleta simanzi sana, sana, sana, sana

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Coast union ni tawi la wale ngada fc sasa walihaidiwa wakishinda na kuisimamisha Azam watapata mpunga mrefu lakini mambo yamekwenda kombo ndo umeona wamehamaki kweli mipango aijatimia,,na washirika wao wameeendelea kusukumizwa nafasi ya 3, Sasa kama wanazo hasira wakazimalizie kwa washirika wao watakapokutana mechi ijayo waache upuuzi wanapoteza muda alafu wanategemea refa apulize filimbi ya kumaliza mpira ovyo kabisa hawa watu
 
WAnaumia mimi kuwaito uto
Je wanavyotuita humu wala ngada? Makolo mbumbumbu?
Sina muda wa kubembeleza wa kumchekea mtu anaponiquote kejeli
Ww unaumia kuitwa ngada?.ktk majina ambayo hayaniumini ni hili maana ni upuuzi mtupu.
 
Ww unaumia kuitwa ngada?.ktk majina ambayo hayaniumini ni hili maana ni upuuzi mtupu.
Wala siumii na sina muda na hayo majina point amenikejeli nimejibu kwa kejeli kama alivyoleta yeye apqmbane na hali yake
 
Wala siumii na sina muda na hayo majina point amenikejeli nimejibu kwa kejeli kama alivyoleta yeye apqmbane na hali yake
Yah ni kweli maana alianza kukwambia una mimba ...basi yaishe tuendelee na utani wenye afya
 
Mimi naona aliongea ki positive tuu kwa sbb nyie ndo mko kileleni kutokana na yy anavyoona mpira unaendeshwa it means kama ukistopishwa leo basi kombe ni lenu that's it. Ila nyie mmechukulia kama kawabeza ila sidhani kama alikua na maana hyo.
Kwani sisi ndio tuliwambia mfungwe na Azam FC? mngekua mnaongoza ligi story za bahasha zingekupo?
 
Sijaangalia mpira... ila muda wa nyongeza ni maamuzi ya refa, ndio maana wanasema "a minimum of x minutes", maana yake refa anaweza kuongeza kutegemeana na mazingira.
 
Huwa nawashangaa sana marefa wa ligi ya NBC, unakuta timu inapoteza muda kijinga halafu dakika za nyongeza zinakuwa chache sana na bado na zenyewe zinakuwa kama maigizo tu. Namsifu sana refa wa leo, marefa wengine wajifunze. Coastal Union wanatakiwa kuadhibiwa vikali na mamlaka za mpira ili uhuni huu usije jirudia.
Kabisa
 
Back
Top Bottom