Wizara ya Maji
Govt Institution
- Oct 2, 2024
- 34
- 20
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma imefanyika.
Ameyasema hayo wakati akikagua Mradi wa Ujenzi wa matanki ya maji matano yaliyojengwa katika maeneo ya Fumagila ,Nyamazobe,Buhongwa,Usagara na Kisesa ambayo yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji zaidi ya lita milioni 31.