Wizara ya Maji
Govt Institution
- Oct 2, 2024
- 34
- 20
Acheni siasa, maji hamna Goba watu wanateseka, maji yanatoka mara moja kwa mweziWaziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma imefanyika.
Ameyasema hayo wakati akikagua Mradi wa Ujenzi wa matanki ya maji matano yaliyojengwa katika maeneo ya Fumagila ,Nyamazobe,Buhongwa,Usagara na Kisesa ambayo yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji zaidi ya lita milioni 31.
View: https://www.instagram.com/reel/Dc_cTyAtWi_/?stkn=NDdqNGFlcGZ2bjJ3
Hongera kwa juhudi zilizofanyika ,lakini tatizo la Maji mikoa ya kanda ya ziwa si Mwanza pekee .Juhudi zaidi zifanyike .Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma imefanyika.
Ameyasema hayo wakati akikagua Mradi wa Ujenzi wa matanki ya maji matano yaliyojengwa katika maeneo ya Fumagila ,Nyamazobe,Buhongwa,Usagara na Kisesa ambayo yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji zaidi ya lita milioni 31.
View: https://www.instagram.com/reel/Dc_cTyAtWi_/?stkn=NDdqNGFlcGZ2bjJ3
Huyu waziri waga ni mjinga sana, anajinasibu na upuuzi tu na alivyo mwingi wa maneno sasa unaweza dhani kuna mtu.Huyu msenge huwa ananikera sana nikiona watu wa dar wilaya ya ubungo kata ya mbezi hasa kiluvya,msakuzi,msumi na kwingineko hakuna maji toka tupate uhuru halafu waziri anaonekana kupiga picha kila siju na kujisifu kuwa anachapa kazi kumbe ni zero kabisa