Acha ujuaji..Nyie watu mna fikra za kijamaa kwenye hela za watu. Yaani huwa mnataka Klabu iwe na "Mfadhili" ila huyo mfadhili akitaka awe mmiliki mnaanza gubu. MO anavyotoa hela alizopata toka kwenye biashara zake huwa mnadhani anatoa kwa kuwa hana kazi nazo?
Tatizo la Simba ni "Uswahili". Unaposema unampa mtu hisa si lazima zikokotolewe toka kwenye thamani ya rasirimali zilizopo. Leo hii nani anajua thamani ya Simba?
Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimba na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
Si umeleta hoja ijadiliwe? Kama Mo anatakiwa atoe bilioni 20 kama thamani ya Hisa 49% anazotakiwa kuuziwa Simba, hiyo maana yake Klabu ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40. Sasa uthibitisho kwamba Klabu ya simba ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40 tunaupataje kama si kwa kuziona hati za mali na hesabu za mapato na matumizi ya Klabu?Acha ujuaji..
Hela ili zitoke ni lazima thamani ya Klabu ijulikane. Klabu yetu ya Simba ina thamani ya shilingi ngapi?kama hajatoa pesa za hisa apigwe chini.
Wao wako Bize wanataka atoe hela, lakini swali rahisi la thamani ya Klabu ya Simba ni shilingi ngapi wanashindwa kulijibu. Wanaishia kusema wana hati ya Klabu inayoitwa Sunderland!!Nyie watanzania mna vioja sana mshaaza kumletea mo mizengwe wivuu utawaua ndomana mnakua masikini wa mda wote
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.
Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.
Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.
Yangu macho.
Hoja hapa ni thamani ya Klabu kwanza ijulikane. Kama bilioni 20 ni sawa na 49% ya Klabu ya Simba, basi upande wa kina Kilomoni waoneshe kwa ushahidi kwamba Simba ina thamani zaidi ya shilingi bilioni 40!!Hivi jamani bilioni 20 zilitakiwa zitoke kwa utaratibu upi..??
Mambo mengine mnajitakia presha za reja reja tu..!!
Mkuu achana na hawa...mashabiki wa ombaomba fcNyie watanzania mna vioja sana mshaaza kumletea mo mizengwe wivuu utawaua ndomana mnakua masikini wa mda wote
Wewe shabiki la ombaomba fc a.k.a makwasukwasu fc mambo ya simba yanakuhusu nini...kwani yakitukuta nyi yanga yatawahusu nini...kwa taarifa yako wanachama tulishaamua na mchakato upo mwishoni kukamilika...TABU IPO PALEPALEHuyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.
Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na matangazoya biashara zake kwa kupitia simba.
Tunaomba vyombo vya usalama wekeni macho yenu karibu. Hatutaki mambo ya UDA yatupate club kwongwe na yenye heshima kama simba.
Yangu macho.
waambie!Nyie watu mna fikra za kijamaa kwenye hela za watu. Yaani huwa mnataka Klabu iwe na "Mfadhili" ila huyo mfadhili akitaka awe mmiliki mnaanza gubu. MO anavyotoa hela alizopata toka kwenye biashara zake huwa mnadhani anatoa kwa kuwa hana kazi nazo?
Tatizo la Simba ni "Uswahili". Unaposema unampa mtu hisa si lazima zikokotolewe toka kwenye thamani ya rasirimali zilizopo. Leo hii nani anajua thamani ya Simba?
Mnataka MO atoe bilioni 20 kwa yale Majengo yenu mawili pale Msimbazi na ule uwanja wa Bunju ambao haujaendelezwa?
huo ndio ukweli lakini mali zisizohamishika hazizidi bilion 5 kinachoibeba simba ni community capital ambao wanachama wake hawana thamani ya kutegemeza club wapo kama watoto wa nyumbani wanasubiri baba anasemaje.Acha ujuaji..
Pale Singida kina Mo wanamiliki majengo mangapi. Hapa Tanzania Mo anamiliki viwanda vingapi. Yaani yale Maghorofa mawili pale Msimbazi ndiyo unataka kusema yamemfanya Mo atake kuwekeza kwenye Klabu ya Simba?MO aliwah kumiliki singida united sielewi ilikuwaje akaitosa au kwa vile haina majengo nini
Pesa za mshahara alizitoa, posho, zawadi, maradhi, safari nk msimu ulioisha zinazidi gharama hata ya hizo rasilimali unazoziongelea.Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.